Ukweli uliowashinda CCM wengi kuutamka: Sambala wa CCM

bakuza

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
490
100
[h=6]CCM- TOKA CHAMA CHA UMMA MPAKA CHAMA CHA WENYEWE.

SAFARI YA CHAMA CHANGU CCM TOKA TANU MPAKA SASA.

KWA WALE TULIOZALIWA ENZI HIZO TUMEYAPITIA HATUA NYINGI ZA KIMABADILIKO KWA TANU NA CCM. TOKA CHAMA CHA UMMA KUELEKEA CHAMA CHA FAMILIA..

KAMA IFUATAYO:-

1. 1960 – 1967: Kiongozi akisimama anasema:

“UHUHRU”

Wananchi mnaitika

“KAZI YA TANU''

Nyimbo za nyakati hizo-
AEEE TANU YAJENGA NCHI.

2. 1967 – 1977 Kipindi cha Azimio la Arusha.

Kiongozi:

“UJAMAA”

Wananchi mnaitikia

“SIASA SAFI YA TANU”

Nyimbo –
Kata mirija kata, kata! ya unyonyaji, kata!
Ya kikabaila, kata! Ya kibebari, kata!

3. 1977 -1980 Kiongozi: CCM HOYEEEEEE!
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

Wananchi:
KIDUMUUUUUUUUU!

Kiongozi: ZIDUMU FIKRA SAHIHI ZA MWENYEKITI WA CCM

Wananchi ZIDUMUUUUUU!

Wimbo ulioimbwa sana Radio Tanzania:

CCM CHAMBALAMAAA X 3 KOCHELELI CCM EEE,
KOCHELELI – hata mimi sikujua wimbo huu
ulitoka kabila gani lakini nadhani mkoa
wa Rukwa!

WAKATI HUO CHAMA KILIKUWAMALI YA WOTE!!!!!

4. 1985 NA KUENDELEA HADI LEO: VIONGOZI NA WAPAPMBE NDO
WANAOIMBA NA KUPOKEZANA!!!!!

“CCM INA WENYEWE, NA WENYEWE NDIO SISI” –
SASA CHAMA KIMEKUWA MALI YA VIONGOZI, WATEULIWA WACHACHE NA FAMILIA ZAO!!!

NI JUKUMU LETU VIJANA WA CCM KUSHIRIKI UCHAGUZI MWAKA HUU NA KUKIREJESHEA CHAMA HADHI YA KE YA KUWA CHAMA CHA UMMA
(WAKULIMA NA WAFANYAKAZI)[/h]
 
Anaongelea mabadiliko kwenye CCM hii ya kina Lowasa et al? Chama kina wenyewe na wengi wao wapo kulinda maslahi yao.
 
acha kife tu coz we can't solve the existing problems by using level of ideas which created then
 
Pamoja na wezi wengi bado kuna waadilifu wachache je watakisaidia chama cha maulaji kisitokomezwe?
 
Amini, usiamini, akina Lowasa na kundi la wanafiki wake anaowatuma kuzushia watu tuhuma zisizopo ili wapenguke muda wake umekwisha na CCM anizaliwa upya kimya kimya; na CCM itaendelea kuongoza nchi hii kwa miaka mingi. Utunze ujumbe huu kwani utakuja ukumbuka 2015.
 
Back
Top Bottom