Ukweli uliojificha: Tozo za miamala ya simu ndiyo jawabu la kilio cha Mabenki nchini

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,735
6,281
Haya malalamishi yamekuwapo siku nyingi sana toka kwa Mabenki kuhusiana na Kampuni za mawasiliano kufanya kazi kama Benki za Akiba yaani zaidi ya Mobile Transfers (Mfano Moneygram, Western Union, n.k) pia watu wengi sana wamekuwa wakihifadhi pesa kwenye akaunti zao za huduma za kifedha kwenye mitandao yao.

It was a matter of time kwa Serikali kuja kusikiliza kilio hiki na kuja na muafaka kwa hii hali. Nadhani huu ni mwanzo tu katika hii ishu ya biashara za kuhifadhi fedha.

Wakati wananchi na makampuni ya kimawasiliano wakilalamikia kuhusu Tozo za huduma ya miamala ya simu, Benki kuu ya Tanzania imelegeza masharti ya kusajili Mawakala wa benki. Hili litarahisisha kusambaa kwa huduma hii ya kibenki mitaani hivyo kufidia pengo litakalotokea baada ya watu kupunguza matumizi ya miamala hii iliyoongezewa tozo.

Swali ni Je Haya Mabenki yako nyuma ya huu mpango ama ndo kufa kufaana ? ...

Kazi na iendelee!

E7U2pBXX0AMTqN4.jpg

E7Sh8OnWYAAQqob.jpg
 
Mbona inasemekana mwisho wa unafuu wa benki ni mwezi wa nane na baada ya hapo ni kilio kama ilivyo kwenye mitandao ya simu za mkononi
 
Mimi nimeshachimba na nimeweka Mtungi chini ya Kitanda changu nina Bastola na magazini mbili zilizoshiba ndio Benki yangu mpaka hapo mambo yatakapo eleweka...and nobody knows except members wa Jf tu.
 
Mimi nimeshachimba na nimeweka Mtungi chini ya Kitanda changu nina Bastola na magazini mbili zilizoshiba ndio Benki yangu mpaka hapo mambo yatakapo eleweka...and nobody knows except members wa Jf tu.

Hata Mwenzako mkuu?
 
Mimi nimeshachimba na nimeweka Mtungi chini ya Kitanda changu nina Bastola na magazini mbili zilizoshiba ndio Benki yangu mpaka hapo mambo yatakapo eleweka...and nobody knows except members wa Jf tu.
Inakera ila njia yako tatizo ni usalama wa familia maana hushindi nyumbani na kikulacho ki nguoni.
 
Mimi nimeshachimba na nimeweka Mtungi chini ya Kitanda changu nina Bastola na magazini mbili zilizoshiba ndio Benki yangu mpaka hapo mambo yatakapo eleweka...and nobody knows except members wa Jf tu.
Asee we ni akili kubwa Mkuu, hakuna namna naunga wazo lako mkuu
 
Back
Top Bottom