Ukweli uliofichwa sasa umefunuliwa, ni kuhusu T. B Joshua

Naona imebidi mfanye mkutano wa haraka baada ya kuona nguvu ya kutisha ya kristu kwa huyu mtumishi.
Unachotaka kutuaminisha ni kwamba mema yote au nguvu zote za mema zinatoka kwenye ufalme wenu.Kama wanavyoaminisha mafanikio ya Freemason.
Kwa kifupi ni kwamba unaitaji nguvu ya roho mtakatifu kumtambua mtumishi wa mwenyezi Mungu.Kwa matunda ya kazi zao pia utawatambua.

Wewe Mshana tunakutambua kwa uchambuzi mzuri wa mada unazoleta na kwa akiri ya kawaida tu bila kutumia nguvu nyingi unajulikana ni mtu wa imani gani hata ukijitahdi kumtetea Mungu wa imani za wengine.
Kadri huyu mtumishi mnavyomuinukia kupitia hata Makanisa ambayo hayana roho wa Mungu na waandishi wengine ambao wengi wao ni wanafiki,ndivyo dunia inavyojaribu kumfanyia utafiti wa ndani na kumkubali.Ndio maana uwezi kukuta kaweka mabango ya kutangaza kanisa lake ukifika Lagos,kwa sababu watu kama wewe Mshana na huyo mwandishi wa kitabu mnatosha kumtangaza na watu wakafuatilia ukweli.Kwa kukusaidia tu fuatilia Chanel ya Kikristu inayoongoza Duniani kwa kuwa na watazamaji wengi na pia usisahau kwenda YouTube.Hapo ndipo ujue mnafanya kazi nzuri sana wewe pamoja na mwandishi wako wa kitabu na hao wanaolalamika kubakwa au watoto wao kubakwa.
Mwisho ,naomba uwe mkweli hujamfuatilia huyu mtumishi katika roho na kweli,roho iliyokuwa inamfuatilia ni ya upinzani kwa hiyo uwezi kuona au kuonyeshwa zuri juu yake,kama na Mimi nisivyokuamini hivyo hata kama una jema naona uchawi tu .

Sent using Jamii Forums mobile app
1 YOH. 4:1 SUV
Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani.
Mkuu unajua namna ya kuzijaribu roho?
 
Naona ule msemo wa " Good morning " nae ameushitukia. Ameona watu wamemgundua alivyowaingiza kingi.

Eti hata jioni au usiku salaam ni "Goodmorning" kama sio uchizi ni nini.

Watu wote mnaovaa bangiri zake na kulamba mafuta yake na mna vifaa vyake vya kiroho mko kwenye benki yake ya takwimu ni kwamba akiona tu Bank Account inapungua anaweza kutuma kipepo au ki devil kidogo kikakupa jambajamba kidogo tu utajikuta unaanza kutuma hela kwake., na badala ya kumtaja Yesu unasali unaomba T.B. Joshua akusaidie. Kumbe wewe unaomba T.B akusaidie
mwenzako yuko juu ya kifua cha mwanamke au kuna binti ananyonya mkuyenge wake.

Hii wanatumia manabii wengi sana.

Kwasababu kile kibwengo amekiweka yeye anauwezo wa kukitoa. Kikitoka unaanza kutoa ushuhuda jinsi Mungu anavyomtumia Fatai Temitope Balagoun Joshua.

Kumbe Fatai ( Fataki) hana lolote si chochote ni sex maniac tu na kulala na wanawake na hasa ma bikra ni mojawapo ya kafara.Mpeleke binti yako bikra SCOAN akutane na Fataki utaona kama atarudi salama.

Hiyo Prophecy aliyotoa kuhusu Putin anataka aalikwe kule Russia akapige hela anajua warusi watamwambia kifo kinabisha hodi mzee umetabiriwa na TB basi atapiga hela ndeeeeefu halafu atawaambia amemponya mkuu na kifo.
 
tu utajikuta unaanza kutuma hela kwake., na badala ya kumtaja Yesu unasali unaomba T.B. Joshua akusaidie. Kumbe wewe unaomba T.B akusaidie
mwenzako yuko juu ya kifua cha mwanamke au kuna binti ananyonya mkuyenge wake.
Naona ule msemo wa " Good morning " nae ameushitukia. Ameona watu wamemgundua alivyowaingiza kingi.

Eti hata jioni au usiku salaam ni "Goodmorning" kama sio uchizi ni nini.

Watu wote mnaovaa bangiri zake na kulamba mafuta yake na mna vifaa vyake vya kiroho mko kwenye benki yake ya takwimu ni kwamba akiona tu Bank Account inapungua anaweza kutuma kipepo au ki devil kidogo kikakupa jambajamba kidogo tu utajikuta unaanza kutuma hela kwake., na badala ya kumtaja Yesu unasali unaomba T.B. Joshua akusaidie. Kumbe wewe unaomba T.B akusaidie
mwenzako yuko juu ya kifua cha mwanamke au kuna binti ananyonya mkuyenge wake.

Hii wanatumia manabii wengi sana.

Kwasababu kile kibwengo amekiweka yeye anauwezo wa kukitoa. Kikitoka unaanza kutoa ushuhuda jinsi Mungu anavyomtumia Fatai Temitope Balagoun Joshua.

Kumbe Fatai ( Fataki) hana lolote si chochote ni sex maniac tu na kulala na wanawake na hasa ma bikra ni mojawapo ya kafara.Mpeleke binti yako bikra SCOAN akutane na Fataki utaona kama atarudi salama.

Hiyo Prophecy aliyotoa kuhusu Putin anataka aalikwe kule Russia akapige hela anajua warusi watamwambia kifo kinabisha hodi mzee umetabiriwa na TB basi atapiga hela ndeeeeefu halafu atawaambia amemponya mkuu na kifo.

Jr
 
Nimechukua muda wa kutosha kusoma kitabu kinachotoboa siri za utapeli wa TB Joshua kinachoitwa "The TB Joshua I Know-Deception of the Age Unmasked" kilichoandikwa na Bi. Hephzibah Bisola Johnson ambaye alikuwa mtumishi wake wa karibu sana kwa muda wa miaka 14.

Infact Bisola alikuwa right-hand person wake aliyekwenda naye kila mahali. Pia nimesikiliza video clips 32 zinazomhusu TB Joshua; nimesoma articles mbalimbali zinazohusu sakata hili; nimesikiliza mahojiano mbalimbali ya watu waliotajwa kwenye kitabu cha Bi Bisola Johnson; nimefuatilia Tweets na page zao za social media; nimesoma maelezo ya watoto wa marehemu waliokufa au kupotea wakiwa ndani ya Sinagogi la TB Joshua bila ndugu kupata maelezo ya kueleweka; nimesikiliza maelezo ya watu maarufu wakiwemo wacheza mpira na wacheza filamu waliowahi kutekwa na uongo wa TB Joshua na kisha kujikuta wakimpa fedha nyingi bila sababu yoyote. Wacheza mpira waliotajwa ni pamoja na Nwankwo Kanu aliyewahi kuichezea timu ya Arsenal na Emmanuel Amunike aliyekuwa kocha wa Timu yetu ya Taifa Stars.

Nimefuatilia pia taarifa zinazohusu kesi zinazomkabili TB Joshua Afrika Kusini zilizofunguliwa na wazazi wa mabinti wadogo waliopelekwa kwake kwaajili ya kuombewa na kisha kufanya nao mapenzi; Nimefuatilia comments na maandiko ya watu wanaomtetea; Nikarudi pia kutazama clip za mahubiri na uponyaji katika Sinagogi lake; n.k, n.k. Ili kujumuisha naomba niseme yafuatayo:

1. Anaendelea kuamini kuwa TB Joshua ni Nabii wa kweli. Na kwamba anafanya miujiza ya kweli, basi ajue anafanya hivyo at his or her own risk! Kama ulienda kwake ukapona, basi ujue ni imani yako tu... siyo TB Joshua. Endelea kumuamini Mungu wako aliyekuponya.

2. Zile kauli za 'wametumwa wamchafue..' hapa hazina mashiko hivyo usikimbilie kijifunika na blanketi hilo.. Tulia. Omba hekima ya Mungu. Kumbuka Hypnosis (yaani kupumbazwa) is real.

2. Kama una maji yake, sticker, mafuta, au chochote chake, ni afadhali utupe tu. Inawezekana unaendelea kujiunganisha na roho usizozijua.

3. Nawashauri wakristu wenzangu tuache kupenda miujiza kupita kiasi hadi kufikia kupumbazwa nayo. Tutulie, na kumtafuta Mungu katika Roho na Kweli. Siyo katika watu, miti, mapango, wala mahekalu...

Kwa anaetaka kusoma kitabu hicho kinapatikana Amazon.

The level of detail in this book is scary. Na mwandishi amesema yuko tayari kupelekwa mahakamani na TB Joshua kama aliyoyasema ni ya uongo. Bi Johnson ameanza kwa kuwataka radhi watu wote na kusema maneno haya: "Please forgive me oo. We did these atrocities together with him oo. I was part of it oo." Ila sasa ametubu na anaamini Yesu Kristo ameshamsamehe. Hivyo anawiwa kuwasaidia watu wengine wasiendelee kupotea.

Pia unaweza kusikiliza mahojiano youtube.

Sent using Jamii Forums mobile app
Well said. Binafsi sijawahi kuwaamini hao wapumbavu ba sitaki hata kuwasikia.
Ila mkuu, kwa kuwa ume dig vya kutosha katika utafiti wako ungemwaga angalau facts kadhaa
 
Utawatambua kwa matendo yao.Yesu Roho yake pia ilijaribiwa na Mafarisayo na walimu wa Sheria.Ni kwamba huyu mtumishi majaribu ameshayapata mengi yanayopimwa ukweli na uimara wake.unaweza kumjaribu mtumishi wa Mungu kiroho au kimwili kupima uimara wa roho iliyondani yake.Hata hao waandishi wa vitabu vya kumponda na mleta mada alivyowasilisha,hiyo ni sehemu ya kuijaribu hiyo roho iliyondani ya mtumishi.Propaganda kama hizi zikikutana fake spirit kwa mtumishi anayejiita mtumish wa Mungu huwa hazichelewi kumuangusha.Hata jaribu la kupiga kanisa lake ambapo walipiga Bweni la kufikia wageni lilikuwa jaribu la kimwili la kupima uwezo wake.Kwa jinsi lilivyoandaliwa na kutekelezwa angekutwa ni roho feki jamaa angekuwa ulimwengu mwingine na hata mleta mada sijui kama angemkumbuka na kufanya uchambuzi usio na empirical evidence namna hii.Huyu mtumishi inabidi utumie muda kumfuatlia then utaona kama ni roho ya kweli au feki.Mfuatilie youtube,fuatilia namna anavyofundisha kwa maneno na kwa vitendo,fuatilia tabili anazofanya kuanzia kwa mtu binafsi,familia,ukoo,kitongoji,kijiji,kata,tarafa,wilaya ,mkoa ,nchi hadi bara zima,.Fuatilia kujiamini kwake the spirit of confodence,Fuatilia ukweli wa mafundisho yake ,utabili wake,na matendo yake (Spirit of truth).Roho hizo zote uwezi zifuatlia kwa muda mfupi.Mi nimeanza kufuatilia ukweli wa kila kitu anachofanya na kufundisha toka 2009.Nimelinganisha na kuchambua na saa nyingine kufanya majaribio ya kile anachofundisha kama kweli kuna matokeo na mpaka sasa sijapata negative result.Kwa sasa ni mtu anayetegemewa na watawala wa dunia hii kuwapa ujumbe wa Mungu juu ya utawala wao.Hata Israel imebid watume barozi wao na kumkarbisha Israel kwa sababu wanashangaa nabii kutoka Afrika wakati manabii wote walitoka kwao.Wamemuandalia Mkutano Mkubwa wa injiri pale Jeruslam.Zaidi sana nenda Youtube kajionee mwenyewe.Kwa hiyo shetani kutaka kutuaminisha kwamba TB Joshua ni mtumishi wake,hivyo mazuri yote anayofundisha na kutenda yanatoka kwake,ni hofu tu ya kushindwa na huyu jamaa ambae hana makanisa sehemu yoyote zaidi ya Lagos lakini Divine convetion power anayosambaza inaenda dunia nzima bila kikwazo.Youtube imebidi wampe tuzo,Chanel ya Kidini na ya Kikikrstu inayoongoza kutazamwa duniani ni EMMANUEL.TV.Zaidi sana fuatilia Mikutano yake nje ya Afrika uone mwenyewe,kwa sababu wengine mpaka tuone ndio tunaamini lakini wale walio katika Kristu uamini ndipo wanaona.Nimetoa picha fupi tu ila huyu mtumishi huitaji mtu akusimulie ndio uamini ,Roho wa Bwana atakujilia juu yako pale utakapofanya bidii kutenda mema na kulitafuta neno la Mungu,atakuonyesha mtumishi ambae amekaa juu yake.Fanya bidii tenda Mema,itafute Roho ya Kuweza kusamehe na kuomba Msamaha,Safisha nafsi yako kwa kuachana na matendo na fikra potofu nawe utafumbuliwa macho na utamuona mtumishi wa Bwana na utapewa kibali cha kuwekewa mikono.Hakika nakwambia Maisha yako hayatakuwa kama yalivyo hivi sasa.Namaanisha kiroho na kimwili.Amani utakayokuwa nayo si Kama uliyonayo sasa,Furaha utakayokuwa nayo si Kama uliyonayo sasa,Mafanikio ya utakayokuwanayo si kama uliyonayo sasa.
Furaha,Amani na Mafanikio yako Vinawezekana vikawa vimejengwa kwenye chanzo cha fedha na ndio maana wengi wanakimbilia kupambana kwa kila namna wapate pesa bila kujali njia za kuzipata wakiamini ndio wamepata Furaha,Amani na Mafanikio.Mfuatilie huyu mtumishi ndio utajua mleta mada yupo ulimwengu upi na uipime roho ya waandishi wa hivyo vitabu pia kujua ni watu wa ulimwengu upi.Kila Roho inayokushawishi ni lazima uipime kwa kuwa umepewa uwezo wa kuchambua hata kwa kutumia maadishi tu utaweza kuijua.Kama unasoma Sms na kujua kwamba huyu ni tapeli basi hutapata shida sana kuwajua wanaompinga huyu mtumishi kwa jinsi wanavyochambua ambapo maranyingi hawana solution bali ni kulalamika na kujiweka kama wao wako katika imani ta kuwafikikisha mbinguni.Utawatambua wakijificha kwenye mistari michache ya biblia bila uchambuzi wa kina nakuonyesha ukweli halisia,utawatambua jinsi wanavyoshabikia injiri za upande mwingine kama mada za mapenzi hata ya jinsia moja,Siasa za uchonganishi,kuleta mada za ulimwengu wa giza huku wakiaminisha nguvu za giza zinavyofanya kazi na zilivyo na manufaa,utawatambua kwa jinsi wanavyofanya uchambuzi wa roho kama za ulevi,wizi,utapeli,na nyingine nyingi.Mwisho hawatakwambia ni mtumishi yupi wa Mungu ni mwema kwao,na hawatakwambia mema ya watumishi wa kweli kwa sababu hawako huko .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipind
Nimechukua muda wa kutosha kusoma kitabu kinachotoboa siri za utapeli wa TB Joshua kinachoitwa "The TB Joshua I Know-Deception of the Age Unmasked" kilichoandikwa na Bi. Hephzibah Bisola Johnson ambaye alikuwa mtumishi wake wa karibu sana kwa muda wa miaka 14.

Infact Bisola alikuwa right-hand person wake aliyekwenda naye kila mahali. Pia nimesikiliza video clips 32 zinazomhusu TB Joshua; nimesoma articles mbalimbali zinazohusu sakata hili; nimesikiliza mahojiano mbalimbali ya watu waliotajwa kwenye kitabu cha Bi Bisola Johnson; nimefuatilia Tweets na page zao za social media; nimesoma maelezo ya watoto wa marehemu waliokufa au kupotea wakiwa ndani ya Sinagogi la TB Joshua bila ndugu kupata maelezo ya kueleweka; nimesikiliza maelezo ya watu maarufu wakiwemo wacheza mpira na wacheza filamu waliowahi kutekwa na uongo wa TB Joshua na kisha kujikuta wakimpa fedha nyingi bila sababu yoyote. Wacheza mpira waliotajwa ni pamoja na Nwankwo Kanu aliyewahi kuichezea timu ya Arsenal na Emmanuel Amunike aliyekuwa kocha wa Timu yetu ya Taifa Stars.

Nimefuatilia pia taarifa zinazohusu kesi zinazomkabili TB Joshua Afrika Kusini zilizofunguliwa na wazazi wa mabinti wadogo waliopelekwa kwake kwaajili ya kuombewa na kisha kufanya nao mapenzi; Nimefuatilia comments na maandiko ya watu wanaomtetea; Nikarudi pia kutazama clip za mahubiri na uponyaji katika Sinagogi lake; n.k, n.k. Ili kujumuisha naomba niseme yafuatayo:

1. Anaendelea kuamini kuwa TB Joshua ni Nabii wa kweli. Na kwamba anafanya miujiza ya kweli, basi ajue anafanya hivyo at his or her own risk! Kama ulienda kwake ukapona, basi ujue ni imani yako tu... siyo TB Joshua. Endelea kumuamini Mungu wako aliyekuponya.

2. Zile kauli za 'wametumwa wamchafue..' hapa hazina mashiko hivyo usikimbilie kijifunika na blanketi hilo.. Tulia. Omba hekima ya Mungu. Kumbuka Hypnosis (yaani kupumbazwa) is real.

2. Kama una maji yake, sticker, mafuta, au chochote chake, ni afadhali utupe tu. Inawezekana unaendelea kujiunganisha na roho usizozijua.

3. Nawashauri wakristu wenzangu tuache kupenda miujiza kupita kiasi hadi kufikia kupumbazwa nayo. Tutulie, na kumtafuta Mungu katika Roho na Kweli. Siyo katika watu, miti, mapango, wala mahekalu...

Kwa anaetaka kusoma kitabu hicho kinapatikana Amazon.

The level of detail in this book is scary. Na mwandishi amesema yuko tayari kupelekwa mahakamani na TB Joshua kama aliyoyasema ni ya uongo. Bi Johnson ameanza kwa kuwataka radhi watu wote na kusema maneno haya: "Please forgive me oo. We did these atrocities together with him oo. I was part of it oo." Ila sasa ametubu na anaamini Yesu Kristo ameshamsamehe. Hivyo anawiwa kuwasaidia watu wengine wasiendelee kupotea.

Pia unaweza kusikiliza mahojiano youtube.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kipindi cha yesu,hakukuwa na hao manabii weusi Leo kipindi cha utandawazi wameibuka kila kona.Ni mambo ya mpito tu yataisha yenyewe,watu watawaona wakaida tu watawazoea.Ni kama vile wanasiasa Siku hizi tunawaona wakawaida japo wanalazimisha waheshimike.
 
So the man is a good servant of Jesus Christ? i bet not... He is after his own interest and he is using Jesus to fulfill his desires

Tamitope Joshua:
Kimwili ni TAPELI MKUBWA
Kiroho ni LANGO LA KUZIMU LIWAONGOZAO WENGI KWENYE MAANGAMIZI. NA HAWAWEZI KUMPONA!

Jr
 
Kiukweli kabisaa toka moyoni mwangu sijawahi muamini yule jamaa, kwenye Tv huwa napita kama simuon, kuna siku i think mwanang alinambia mama kwann hupendi kumsikiliza nkamwambia sina Iman nae tu na si kingine.

Na sio yeye tu karibia wote wanaojiita manabii sijawahi kuwaamini sijui kwann. Kuna wakat nliumwa sana sanaa na tumbo jiran yang mmoja akanambia twende mahali nkupeleke na kama nlifungwa ufaham sikuuliza wapi. Mara paap kanisani nkamuuliza kanisa gani hili akanitajia jina, anyway sabab nlishafika nkasema wacha niingie.

Toka tumeingia kanisan ni shuhuda za watu kufanikiwa tuuu mara nlkuwa na gar moja baada ya kuombewa nkapata tano
Mara sijui nn nkasema ayaa sasa hapa Mbingun tunaenda kwa magari au nyumba? Hawahubir neno la Mungu
Hawahubir watu waijue kweli ya Mungu na kuacha yasiyompendeza wao n mafanikio tu. Nkasema daah Mungu okoa kizaz hiki.

Ikafika muda wa kuombewa akanambia nenda mbele nkamwambia hapana mimi nakaa hapa hapa. Oho ajab nyingine nlioona watu wanasimama nyuma ya mtu anayeombewa unaguswa kwa kusukumwa nyuma halaf wale wanakudaka.

Kiukwel nlijionea mengi nkasema hapana ngoja nibaki na dini yangu mama KKKT inanitosha. Nawaangaliaga watu weee
Nasema anyway kila mtu na Imani yake.

Sent using Jamii Forums mobile app

Dada kumbe nawewe umeshuhudia hili ? Bhana mimi mwezi wa 10 mwaka jana nilikuwa na changamoto za kimahusiano kanti yangu na ex wife wangu. So nilienda kwao na mke wangu huko dododma na nilipogikabjikaambiwa labda tukaombewe na Nabii wa kanisa X ndoa yetu itakuwa sawa. Nikasema haina shida isiwe shida nikawa tayari. Jioji ile dada yake na mke wangu akaniambia twende nikaambatana naye nikiwa namdogo wake(ex-wife). Nilipofika pale jamaa aliniita na nikakaa naye pale mbele na haikuwa siku ya maombi wala ibada ila jamaa (Nabii) alikuwa anahudumia watu bila kujali siku. Basi mie nikafika pale jamaa akaanza kuongea vitu vitu fulani, kiukweli nilishangazwa akawa anasema vitu vinavyoendelea kati yangu na mwenzangu na akawa anapatia kiasi fulani. Baada ya hapo akaenda mwenzangu naye akawa anaakbiwa vitu vya kwenye familia yao na jamaa akawa anapatia as if kuna mtu amemsimulia.
Baadae jamaa akasema njooni tena jioni kuna maombi, ilipofika mida hiyo tukaambatana na mwenzangu pamoja na Shemeji yangu.
Sasa muda wa maombi ulipofika jamaa alijaza watu kinoma, na waliimba mapambio yao mie nawatazama tu na mwenzangu naye hata hakua na lakufanya zaidi ya kukaa tu. So wakati anaomba mie nikawa nafumbua macho, cha kuchekesha buanaa, wakati akiwa anapita kuwagusa hao watu anawasukuma alfu ile unachechemea unadakwa na watu unakimbizwa mahala. Sasa alipofika kwangu akanigusa, alinisukuma kwa nguvu sana sema namimi nilikuwa nimejiweka sawa haya sikutetereka nikawa ngangari ila wengine hasa hasa dada zangu akiwasukuma wanakwenda chini. Sasa ndio nikawa najiuliza mbona mambo ya kama uongo fulani. Siku zilizofuata niligoma kwenda na nikasema Mungu mwema aishiye kama anayo nia juu ya hili ataiokoa ndoa ila baadae tukaachana. Sasa tokea muda ule mie mtu yoyote akianza kujiita sijui nambii au nani hivii.! Mie natoa kwenye list langu . Binafs sio muumini wa miujiza, bali kweli ya Kristo Yesu.

Happy dude
 
Hahahha haya mambo bwana basi tu,hatukatai ila kiukweli wengi wao wanaenenda kwa jinsi ya mwili na si roho
 
Heshima ya kidunia si heshima ya mbingu.. Kuaminiwa kidunia hakumaanishi kuwa wewe ni mkamilifu na Mtakatifu... Wote hao ni binadamu na wote wametenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu.. Mbele ya Mungu si lolote si chochote
TB Joshua anaaminiwa na viongozi wakubwa wa kimataifa baada ya pope.

Kiongozi wa kidini wa kwanza kuheshimiwa na viongozi wakuu wa nchi Duniani wa kwanza Ni papa wa pili Ni TB Joshua

Jr
 
Nimechukua muda wa kutosha kusoma kitabu kinachotoboa siri za utapeli wa TB Joshua kinachoitwa "The TB Joshua I Know-Deception of the Age Unmasked" kilichoandikwa na Bi. Hephzibah Bisola Johnson ambaye alikuwa mtumishi wake wa karibu sana kwa muda wa miaka 14.

Infact Bisola alikuwa right-hand person wake aliyekwenda naye kila mahali. Pia nimesikiliza video clips 32 zinazomhusu TB Joshua; nimesoma articles mbalimbali zinazohusu sakata hili; nimesikiliza mahojiano mbalimbali ya watu waliotajwa kwenye kitabu cha Bi Bisola Johnson; nimefuatilia Tweets na page zao za social media; nimesoma maelezo ya watoto wa marehemu waliokufa au kupotea wakiwa ndani ya Sinagogi la TB Joshua bila ndugu kupata maelezo ya kueleweka; nimesikiliza maelezo ya watu maarufu wakiwemo wacheza mpira na wacheza filamu waliowahi kutekwa na uongo wa TB Joshua na kisha kujikuta wakimpa fedha nyingi bila sababu yoyote. Wacheza mpira waliotajwa ni pamoja na Nwankwo Kanu aliyewahi kuichezea timu ya Arsenal na Emmanuel Amunike aliyekuwa kocha wa Timu yetu ya Taifa Stars.

Nimefuatilia pia taarifa zinazohusu kesi zinazomkabili TB Joshua Afrika Kusini zilizofunguliwa na wazazi wa mabinti wadogo waliopelekwa kwake kwaajili ya kuombewa na kisha kufanya nao mapenzi; Nimefuatilia comments na maandiko ya watu wanaomtetea; Nikarudi pia kutazama clip za mahubiri na uponyaji katika Sinagogi lake; n.k, n.k. Ili kujumuisha naomba niseme yafuatayo:

1. Anaendelea kuamini kuwa TB Joshua ni Nabii wa kweli. Na kwamba anafanya miujiza ya kweli, basi ajue anafanya hivyo at his or her own risk! Kama ulienda kwake ukapona, basi ujue ni imani yako tu... siyo TB Joshua. Endelea kumuamini Mungu wako aliyekuponya.

2. Zile kauli za 'wametumwa wamchafue..' hapa hazina mashiko hivyo usikimbilie kijifunika na blanketi hilo.. Tulia. Omba hekima ya Mungu. Kumbuka Hypnosis (yaani kupumbazwa) is real.

2. Kama una maji yake, sticker, mafuta, au chochote chake, ni afadhali utupe tu. Inawezekana unaendelea kujiunganisha na roho usizozijua.

3. Nawashauri wakristu wenzangu tuache kupenda miujiza kupita kiasi hadi kufikia kupumbazwa nayo. Tutulie, na kumtafuta Mungu katika Roho na Kweli. Siyo katika watu, miti, mapango, wala mahekalu...

Kwa anaetaka kusoma kitabu hicho kinapatikana Amazon.

The level of detail in this book is scary. Na mwandishi amesema yuko tayari kupelekwa mahakamani na TB Joshua kama aliyoyasema ni ya uongo. Bi Johnson ameanza kwa kuwataka radhi watu wote na kusema maneno haya: "Please forgive me oo. We did these atrocities together with him oo. I was part of it oo." Ila sasa ametubu na anaamini Yesu Kristo ameshamsamehe. Hivyo anawiwa kuwasaidia watu wengine wasiendelee kupotea.

Pia unaweza kusikiliza mahojiano youtube.

Sent using Jamii Forums mobile app
Well said, Asante Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom