Hapana mkuu namzungumzia mama. Huyu mama kidemokrasia ni mbaya kuliko Magufuli.Hapa unamzungumzia Magufuli, ambaye tayari hatunae!
Naona wewe unakwenda kwa mwendo wa kinyonga mkuu!
Ameruhusu na kuachia mambo kadhaa qmbayo yatampa umaarufu na kukubalika zaidi. Lkn kimsingi anaminya Mambo muhimu ya kidemokrasia.
Hata Magufuli hakuwahi kumpa kesi ya ugaidi mpinzani wake. Huu tayari ni mkakati madhubuti wa kuawatisha wapinzani wake wa nje na ndani ya chama chake.