Ukweli taifa la Israel:Taifa hili liko wapi? Je, ndio hao waliopo sasa?

HAYO YOOTE YAMESHAONGELEWA KWENYE VITABU, ITATOKEA SIKU IZRAIL ATAONDOKA KWENYE ILE ARDHI,, NA WAO WENYEWE WANAJUA HILO NA NDIO MAANA KAMA UTACHUNGUZA WANAOINGA HATA UKIRISTO NA SIO UISLAMU TU, COZ QUR-AN NA BIBLIA VIMEONGEA HIVYO, UKWELI UTAKUJA TU BAADAE
Kabisa Broo
 
mleta mada koloni pekee ambalo waafrika tunalo ni Israel tu,Africa imetawaliwa na nchi kibao ila Africa ina eneo moja tu ililolishika kutawala kupitia watoto wa Africa ambayo ni Israeli.Mleta mada unaacha kutetea ndugu zako waisraeli umekomalia kutetea wafilisti wanaojiita wapalestina.Uwe na uzalendo

Waisrael wote ni waafrika Na watoto na wajukuu wa Afrika. Kwa sheria za kuzaliwa mtu aliyezaliwa nchi ingine huwa raia wa nchi husika. Waisraeli wazazi wao akina Musa nk walizaliwa misri Afrika wakahamia israel.Wakaishika kama koloni lao Kwao ni africa sawa na mchaga akizaliwa dar akiulizwa kwenu wapi anasema moshi. waisrael ni waafrika Wenzetu waliohamia Israel. Ndio maana hata Yesu alipotaka kuuawa na Herode israel aliamua kukimbilia kwao Misri Afrika akarudi baada Ya Herode kufa. Alikumbuka kwao. Israel inabidi wakumbuke kwao wasidharau Afrika. Africa ilihifadhi musa na Africa iliihifadhi Yesu asiuawe na Herode hata Yesu alipokuwa akipelekwa kusubiwa Mwafrika Simon mkirene mtu wa Ethiopia Africa aliyekuwa akiishi Israel alibeba msalaba ili yesu asiendelee kupigwa mijeledi kwani hakuwa Na uwezo wa kuendelea kubeba msalaba kwa mateso waliyompa. Wengine walikataa kuubeba Mswahili mwafrika akakumbuka damu nzito kuliko Maji akamsaidia ndugu yake mwafrika Yesu. Mungu tukumbuke waafrika
Pia mke wa Musa alikuwa mu-Ethiopia.
 
Tatizo unakariri tu mkuu
Mimi unayeniona fala nimeleta sababu zangu pasipo matusi wala pasipo kumkejeli mtu
sasa wewe unakuja tu from no where kwa kauli zako tu za ushuzi unadhani nani atakuelewa?
jaribu kujenga hoja hapa hatubishani tnafundishana na kuelimishana jenga hoja ya msingi ikieleweka sawa sio kulazimisha mtu akubali mawazo yako wakati hauna hoja.
Tm-ko
kama hukeje look I mbona linanisumbua ninaleta ngonjera
 
israel ya kale ilikuwa na makabila 12 mfalme solomon alipoasi[sio suleiman wa kwenye quran] Mungu wa israel na na ABRAHAM [sio ibrahim wa quran]aliugawanya ufalme kukapatikana falme,UFAME wa YUDA ambao ulikuwa na makabila 2 na wa kaskazini ambao uliendelea kujulikana kama israel wenye makabila 10.walipoendelea kuasi wakaadhibiwa kwa kupelekwa utumwani kwa vipindi tofauti tofauti,israel ya sasa ya kisasa inaundwa na wanaoitwa masalia lakin kuna utata wa asili yao,wengi wao ni wayahudi waitwao waishkenaz kwa mtiririko wa vizazi toka kwa uzao wa wana wa nuhu waishkenazi sio wayahudi.
Bwana wee wote hawa ni majina hayohayo usitubague wee mgalatia. kwa nini mnapenda ku isolate Biblia na Quran?
 
WE FALA HUJUI AA WALA BEE WALA CHEE KUHUSU TAIFA LA ISRAEL, USIJIFANYE MACHI NOO KWENYE HILI ZAIDI UNAONEKANA CRAZY TU. ISRAEL NDO ISRAEL MILELE NA MILELE
Fala ndo nini?, wewe lazima utakuwa kizazi cha Cain wewe! wenzako tuna furahia kujijua tu wana wa Mungu aliye hai wewe unikataa roho ya ufahamu duuuuu! nasema na bado tutajitambua mpaka basi. Mwambie babu yako shetani hatumtakiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Mleta mada nakushukuru kwa kutuelimisha kwa hii mada ambayo Mara kadhaa watu tofauti wameizungumzia humu JF kupitia majukwaa tofauti

Pia naomba wote wanaopinga au wenye mawazo tofauti waweke facts lengo hapa ni kujifunza tupate ukweli sio kupinga halafu unapita,tuambie ukweli unaojua ni upi na uweke ushahidi kama alivyofanya mleta mada hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada nakushukuru kwa kutuelimisha kwa hii mada ambayo Mara kadhaa watu tofauti wameizungumzia humu JF kupitia majukwaa tofauti

Pia naomba wote wanaopinga au wenye mawazo tofauti waweke facts lengo hapa ni kujifunza tupate ukweli sio kupinga halafu unapita,tuambie ukweli unaojua ni upi na uweke ushahidi kama alivyofanya mleta mada hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asanthe sana mkuu kwa mchango wako karibu sana
 
Sasa wewe unauliza swali halafu tena unajidai kujijibu mwenyewe. Very hopeless.
 
Back
Top Bottom