Ukweli ni upi?

ashidodi

JF-Expert Member
Sep 4, 2016
287
334
Habari za humu ndani wana jf,
Kuna ukweli wowote kuhusu kuubebesha gunzi la mhindi mmea mchanga wa mpapai Kuwa utazaa? Au ni imani tu za kishirikina.
Nawasilisha
IMG_20210407_144943_731.jpg
 
Hapo ni jambo la kuupa mmea stress juu ya mazingira na hivyo kujiona unaelekea kupoteza maisha bila ya kuacha kizazi chake.. ikiwa hivyo unajibadili kuwa katika hali ya kike na kuanza kuanza kuzaa matunda yenye mbegu
 
Kumbe na mimea ina stress mkuu, asante sana
 
Nami nasikia hivo, japo mechanism ya gunzi kuondoa utasa kwenye mpapai siijui.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom