ukweli ni upi?

deni

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
255
186
niambieni ukweli.kozi ipi huko chuoni inalipa na ajira zipo kemkem(Kwa sasa na kwa tanzania ya badaye) kati ya civil,telecom na electrical engineering.

Education,archtecture na medicine ndo znalipa,hao wengne wote ni waganga njaa 2.

sidhani ka vyote hapo juu vilivyotajwa vinalipa kwa bongo ya ssa...................someni tu kuondoa ubongolala

sidhani ka vyote hapo juu vilivyotajwa vinalipa kwa bongo ya ssa...................someni tu kuondoa ubongolala

bt atleast ndo ajira zake zko nje nje,yan hazna longo longo..ila hao wengne,msoto ka kawa mkuu.

Wasikuzingue Hapo telecom ni shavu!!ukibahatika kupata ajira sector binafsi!!telecom mambo yote,ila tu usidese!!

Wasikuzingue Hapo telecom ni shavu!!ukibahatika kupata ajira sector binafsi!!telecom mambo yote,ila tu usidese!!

huo ni wimbo ambao vijana wengi hasa wanao somaga PCM huwa wanadanganyana,we pga hyo telecom yako thn rudi kitaa uone ka hujauza nyago hadi yesu arudi..

kinacholipa ni medicine....ila kuna msemo kuwa ¨katika nchi ya vipofu chongo ni mfalme¨ i mean katika kozi ulizotaja telecom ya ukweli

hv archtecture na civil engineering si ndo walewale?

me nijuavyo archtecture ni msanifu wa majengo bt civil ye ni fundi ujenzi.

ukiosmea archtecture na civil engineering utaishia kusogeza nzege ila kila mtu na bahati yake unaweza soma tu kwa sasa.

Kaka hizo ulizozitaja hapo wenye fursa atleast ni electrical engineers........ila katika market ya baadae ya ajira soko litatekwa na hizi course mpya hilo liko wazi kabisa mfano actuarial science na wanaosoma ishu za ardhi maana fursa kwa baadae zitakuwa nyingi.

Back
Top Bottom