Ukweli ni upi kuhusu Fedha za MCC II

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,187
103,707
Wakuu na Waheshimiwa niwaombe mtupe ukweli kuhusu release ya fund ya MCC II.Jana Mh.Kafulila kupitia Dk 45 za ITV alisema kutokana na sintofahamu za Escrow,wafadhiri hawajasaini wala kutoa pesa za MCC II,leo hii akizungumza bungeni Mh.Aden Rage anasema tayari funds zimetolewa na kuna miradi imeendelea.Nani mkweli,wakuu wa hazina mtuambie
 
Back
Top Bottom