Ukweli ni upi kampuni za simu?

Baiskeli

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
336
225
Tumeona makampuni ya simu kubadili majina kwa mfano airtel ilikuwa celtel ikaja zain kisha sasa tuko na airtel. maneno mengi mitaani yanadai ni kukwepa kodi. je ni kweli? na kama ni kweli inamaana wanachakachua hadi nchi nyingine? maana mabadiliko yanakuwa nchi zote ilipo hiyo kampani. wajuaji fafanueni. nawasilisha.
 

Futota

JF-Expert Member
Dec 11, 2010
522
195
Kampuni ya Zain- Middle east iliuzwa kitambo tu na ikanunuliwa na wahindi. Nadhani hii imesababisha Zain-Tanzania nayo ibadilishe ownership /iuzwe kwani ilikuwa under Zain-Middle east
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom