Ukweli ni upi jinsi ya kuijua nyota yako?

Habari tena mkuu kama nilivyokwambia kuwa umekosea kujumlisha jina hapo ndivyo hali halisi ilivyo tizama wewe ni mtanzania tukileta vema thamani ya jina lako mara nyingi kiarabu linaandikwa اللي حلك ungekuwa mwarabu tungesema علي
lakini kwa kuwa ulipewa jina na watu waliokuwa katika range za kiafrica kwa kutoa kwa wazungu wakakuita Ally sasa kwa thamani ya herufi hizi ا = 1 ل=30 ل=30 ي=10 kwa hiyo kwa jina lako tunakuwa tayari tumepata thamani ya idadi yako ni 71 tukirejea kwa mama tunasema ح ni 8 ل ni 30, na ك ni 20 hapo tutapata 58 ambayo tukijumlisha mama na wewe tunapata 129
sasa tukianza kuivunja thamani hizo tupate nyota moja kwako kati ya 12 tunakuta kuwa kwa 72 itabaki 57 na hiyo ukivunja na 12 itaingia 48 ambapo itaiua kwa 9 sasa umejua kuwa nyota ya Jina lako ipo hapo kwenye 9?

Tarehe ya kuzaliwa upo kwenye simba
jina lako upo kwa punda
na jina la mama upo kwa Mshale

Kiujumla kwa fahamu za elimu ya watu wenye elimu kubwa tunasema wewe katika nyota za asili nne au maada nne nyota yako wewe ni moto
karti ya nyota nne
ambazo ni
Maji
Upepo
Udongo
Moto

Umeelewa?
fuata asili tu ya nyota zako maana teyari unaasili tatu kuu za nyota ambayo ni kigeugeu, nyuso mbili na Thabiti.
na watu kama wewe wakienda kwa wataalamu wasio na maarifa ni kuvurugwa tu nyota

Rakims
Mkuu nimekuelewa vizuri Allah akujaze kheri zaidi na zaidi.
Ila kwenye calculation tumepata 129 umeivunja vunja vipi mpaka ukapata 72, ikaja 57, ikaja 48 mwisho ukapata namba 9. Yaani hapo ulivyokokotoa mpaka mwisho ukaipata namba 9
Msaada wako mkuu Rakims
 
Mkuu nimekuelewa vizuri Allah akujaze kheri zaidi na zaidi.
Ila kwenye calculation tumepata 129 umeivunja vunja vipi mpaka ukapata 72, ikaja 57, ikaja 48 mwisho ukapata namba 9. Yaani hapo ulivyokokotoa mpaka mwisho ukaipata namba 9
Msaada wako mkuu Rakims
Hiyo ni tebo ya 12 yaani 129 = 12×10 = 120

Rakims
 
Hiyo ni tebo ya 12 yaani 129 = 12×10 = 120

Rakims
Sheikh samahani kwa usumbufu,
Kuna binti nataka kumuoa nilikuwa nataka kujua nyota yake na yangu zinaendana? Kama Alla atakuafikisha insha'Allah nikutajie majina yake na mamaye pia na tarehe yake ya kuzaliwa.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Sheikh samahani kwa usumbufu,
Kuna binti nataka kumuoa nilikuwa nataka kujua nyota yake na yangu zinaendana? Kama Alla atakuafikisha insha'Allah nikutajie majina yake na mamaye pia na tarehe yake ya kuzaliwa.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Gharama ya uchambuzi ni sh elfu 10 njoo na details zote pm.

Rakims
 
Habari WanaJamiiForums?
Moja kwa moja twende kwenye mada bila kupoteza muda.
Ipo hivi, kuna wataalam na wajuvi wa masuala ya nyota wanasema unaweza kujua nyota yako kwa kutumia njia takribani tatu ambazo ni;

1.TAREHE NA MWEZI WAKO WA KUZALIWA.

2.JINA LAKO NA MAMA YAKO HALAFU UNAGAWANYA KWA 12.

3.HERUFI YAKO YA KWANZA YA JINA LAKO.

Kwa maelezo yao Wataalam na Wajuvi wa masuala haya wanasema njia hizo zilizotajwa hapo juu ndio hitumika haswa kwa mtu kuijua nyota yake.

Lakini cha kushangaza kila njia moja kati ya hizo tatu ukitumia inakupa jibu la tofauti sijajua ukweli ni upi?

Mfano:
a)Mimi nikitumia njia ya kwanza ambayo ni tarehe na mwezi niliozaliwa napata jibu ni nyota ya SIMBA.

b)Nikitumia njia ya pili ambayo nikijumlisha jina langu na mama yangu jibu ni nyota ya NGE.

c)Nikitumia njia ya tatu ambayo ni herufi ya mwanzo ya jina langu jibu linakuja nyota ya PUNDA.

Naomba kujua ukweli kwa yeyote mwenye Utaalamu na Ujuzi wa mambo ya Nyota anifafanulie vizuri ni ipi haswa njia nzuri ya kufuata ili kujua nyota yangu?
Na pia kama kuna sehemu nimekosea naomba kurekebishwa tafadhali. Ahsanteni
Naomba kuwasilisha.
Mimi jina langu na la mama angu nimepata 10 1/2 sijui ni nyota gani iyo
 
Kuna majitu yanaenda kutapeliwa kama majinga ,waafrika tumelaaniwa na upumbavu,jitu lilikimbia shule lenyewe linakuja kutafuta sijui nyota .eti jina la mama ,sijui jina lako ,hawajui jina ni identity tu mtu anaweza kuwa majina hata mia na hukuna effect yoyote ,mimi nina jina nimepewa na shangazi,jina la babu,jina la baba na mama kanipa jina lake ,ila nimeamua kujiita la kwangu mwenyewe hadi kwenye vyeti na kila sehemu sasa hapo sina nyota?? Upuuzi tu,hata tarehe ni uongo tu kwenye space hakuna tarehe,hizi tarehe zilitungwa tu nawajanja kupata muda ,ila muda wenyewe ni imaginary tu
 
Elimu ya nyota ni real wala sio uchawi hata kwenye maandiko ya kidini zimetjwa vzur na si kwa ubaya.mf mm nyota yng ni ya punda inahusiana na moto kwa hyo shughuli znazonfaa kufanya ni zile znazohusiana na moto kama udereva,upishi,vifaa vya umeme nk japo sijaanza kuzifanya siwez wapa mrejesho.

huku ndiko mafankio yangu yalipo.siku za bahati znanisoma sku ya jmanne,alhamisi na jumapili na ni kweli sku hz nkiamua kufanya kitu hakuna baya lakunikuta huwa napata hela sku hzo hata kwa kupewa tu watu bila kuwfanyia kazi.

Kingne mwaka mpya skupata bahat ya kula ugimbi jmapil ambayo ni moja ya sku zangu za bahat nikasema wacha nami nijiachie nkala ugimbi maeneo ya lugoba pwani chalinze kilichofuata bila kujua nkapita karibu na kibao cha shule lugoba huwa kuna defender la polisi linapak kwa ajili ya dolia nkawafanyia fujo nkawtukana sana na kuwtishia kuwfukuzisha kazi lakn skuwekwa lokapu.majirani walioshuhudia hawakuamini.

soma nyota yako ikupe mwongozo utaishi kwa amani sana hata kama utaishi maisha ya kawaia.yawezekana unafanya kazi ambayo si ya nyota yako ndo maana huoni matunda ama sku zako za bahati na sku za mikosi hujui.

elimu ya nyota ni ana sana mpaka kwa ndoa ipo wewe nyota yako moto unaoa au kuolewa na mtu mwenye nyota inayohusiana na udongo au maji unategemea nn?

wewe ni moto oana na mwenye nyota inayohusiana na upepo maana bila hewa ya o2 hauwaki.kwa leo naishia hapa
Umeandika pumba tupu,afrika tumelaaniwa kwa imani za kijinga ndio maana tunadharauliwa duniani
 
Back
Top Bottom