BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,792
- 287,994
NI kwa WAPUUZI tu ndiyo wanaamini Kabendera alikuwa na makosa. Kabendera hakutenda kosa lolote zaidi ya kuandika ukweli kuhusu utawala wa dikteta ambaye hakupenda na kuamua KUMBAMBIKIA kesi FAKE ambayo ilisababisha kifo cha mama yake.
Kwani ukiomba msaada kwa rais ni lazima upate? Kabendera mwenyewe alikiri makossa yake sasa kwa nini hakukiri mapema? Itabidi umtafute na kumuuliza.
BTW rais kila dakika anapata maombi tofauti tofauti kutoka kwa Watanzania wengi (Population hivi sasa ni millioni 55, Je, unafahamu maombi yao yanasikilizwaje na kwa muda gani? Je, Kabendera wakati anafanya yale makosa alikuwa hafahamu sheria? Sheria za nchi ni msumeno zinakata kote kote. Amelipwa alichokuwa anakitafuta na ndivyo haki inavyofanya kazi.