Ukweli ni lazima tuuseme hadharani: Rais Magufuli alikuwa anaona kitu ambacho wengi hatukuwa tunaona; Je, ni Mungu aliyesema naye?

Kwanini kudhania?????!! Au kuna mahali nimeitaja dar????
Ndugu naomba unielewe (kuamini kuwa JF is a home of GREAT THINKERS);

Sina hakika kama kuna wanaoumwa Korona leo wanajipeleka hospitali kwa kufuatana na kauli mbiu ya Mkuu. Kama wapo fine. Hiyo ndo maana ya SIDHANI.

Lock down ilikuwa inahusu DAR tu. Sijawahi kusikia watu wakizungumzia ku-lock down Mtwara,Lindi wala Ruvuma. Vinginevyo naomba unikumbushe.

Asante.
 
Lakini pammoja na mafanikio hayo makubwa ya Mwenyezi Mungu kutuhurumia na janga hili ,Tanzania haipo kwenye white list ya nchi 14 za Africa zinazoruhusiwa watu wake kwenda nchi za EU.Mfano ni Rwanda ipo white list.
Labda sababu ni Tanzania kugoma kutoa update za Corona kama mataifa mengine yanavyofanya.Every point counts.
Ulaya ni mbinguni? Haya ni mbinguni marekani wamo?
 
Last but not least JPM ni mcha mungu na ni mnyenyekevu na hakuna hata siku moja ataanza kusema chochote bila kumshukuru Mwenyezi mungu muweza wa vyote. Je, ni marais wangapi hapa duniani ambao wanaweza kutoa shukrani kwa mwenyezi Mungu? Wamemsimanga JPM na kumdhihaki kwamba Tanzania wanasema covid-19 imekwisha kwa sababu ya maombi kwa mwenyezi Mungu na kusambaza habari kwamba tunazika usiku etc. Lakini matokeo hayajifichi, hivi sasa wanaona aibu!
Mbaguzi wa waziwazi unamuita mcha Mungu? Yani mijitu kama wewe ni rahisi sana kutongozwa na vitu vidogo vidogo na kupumbazwa! Yani umekaa kabisa unajiambia kuwa Magufuli ni mcha Mungu kwa kuwa anataja taja jina la Mungu hovyo! Acha ujinga na upofu wa akili wewe! Unajua ni watu wangapi wanateseka na Corona? Unajua ni wangapi wanakufa? Au kwakuwa hutangaziwi ukweli.
 
Kwanini alienda kuchukua dawa madagaska.. watu wabishi ni wazuri kwenye betting
Utendaji kazi wa Mungu ni waajabu sana, ili umsikie Mungu akisema ni lazima uwe kwenye nafasi husika. Mfano kama wewe ni mwenyekiti wa mtaa Mungu atasema na wewe kuhusu mtaa wako ni mara chache atakuambia kuhusu mitaa mingine au nchi yote kwa ujumla ila uwe na uhakika mara nyingi atasema na wewe kuhusu mtaa wako kama ukimtafuta...
 
Mbaguzi wa waziwazi unamuita mcha Mungu? Yani mijitu kama wewe ni rahisi sana kutongozwa na vitu vidogo vidogo na kupumbazwa! Yani umekaa kabisa unajiambia kuwa Magufuli ni mcha Mungu kwa kuwa anataja taja jina la Mungu hovyo! Acha ujinga na upofu wa akili wewe! Unajua ni watu wangapi wanateseka na Corona? Unajua ni wangapi wanakufa? Au kwakuwa hutangaziwi ukweli.

Wewe umeshindwa nini kututangazia? Imani ya mtu ni siri yake na mwenyezi Mungu, wewe na mimi tunaongea kutokana na yale tunayoyaona tu. FYI rais wa nchi yoyote ile huwa ana taarifa nyingi kukushinda wewe na mimi.
 
Lakini pammoja na mafanikio hayo makubwa ya Mwenyezi Mungu kutuhurumia na janga hili ,Tanzania haipo kwenye white list ya nchi 14 za Africa zinazoruhusiwa watu wake kwenda nchi za EU.Mfano ni Rwanda ipo white list.
Labda sababu ni Tanzania kugoma kutoa update za Corona kama mataifa mengine yanavyofanya.Every point counts.

KLM wametua kwa kishindo na hawana wasi wasi, sio lazima nchi zote zitukubali.

Wewe umeshindwa nini kututangazia? Imani ya mtu ni siri yake na mwenyezi Mungu, wewe na mimi tunaongea kutokana na yale tunayoyaona tu. FYI rais wa nchi yoyote ile huwa ana taarifa nyingi kukushinda wewe na mimi.
Tatizo la watanzania kama wewe ni wajinga ambao hawapendi kushughulisha akili zao ili waujue ukweli. Madhara yake ni kupata mgando wa akili. Magufuli alijua kuwa mitanzania kama wewe inahitaji kufichwa ukweli maana itaamini na ndiyo maana akavibana vyombo vya habari na uhuru wa maoni.

Mtu mcha Mungu hawezi kamwe kuficha ficha mambo kama afanyavyo Magufuli. Ni upuuzi kuwaza kuwa Magufuli ni mcha Mungu!
 
KLM wametua kwa kishindo na hawana wasi wasi, sio lazima nchi zote zitukubali.

Umejiona jinsi ulivyo mpumbavu? Hiyo ndege umeiona wapi? Huoni kuwa hilo ni tangazo? Akili huna halafu unaingia Jf! Huoni aibu?
 
KLM wametua kwa kishindo na hawana wasi wasi, sio lazima nchi zote zitukubali.

Nazungumza states wewe unazungumza Airlines .Hata Uturuki inayojenga mahandaki ya Reli SGR imetutema kwa hilo.Sisemi ni permanent lakini kwa sasa habari ndio hiyo.
 
Tatizo la watanzania kama wewe ni wajinga ambao hawapendi kushughulisha akili zao ili waujue ukweli. Madhara yake ni kupata mgando wa akili. Magufuli alijua kuwa mitanzania kama wewe inahitaji kufichwa ukweli maana itaamini na ndiyo maana akavibana vyombo vya habari na uhuru wa maoni.

Mtu mcha Mungu hawezi kamwe kuficha ficha mambo kama afanyavyo Magufuli. Ni upuuzi kuwaza kuwa Magufuli ni mcha Mungu!

Sawa mimi ni mjinga na wewe ndio mwerevu. Je, werevu wako ndio unakufanya uwe hapa JF na kuona wengine wote ni wajinga? Nisipokubaliana na msimamo wako nageuka mjinga, kama ni hivyo wewe ndio hatari zaidi kuliko hata ukoma.
 
Tatizo hao 100 waliokufa wewe data umezipata wapi?
Umelielewa swali langu? NB.Unategemea data za Ummy ndo ujue corona ipo au imekwisha? Endelea kuamini wafuasi wa kibwetere.Utavuna halali yako soon!
 
Kwenye ukoo wenu wamekufa wangapi? Mtaani kwako je na kwenye familia yako umeshazika watoto wangapi kwa corona?
Maswali ya kijima haya. Yanaonyesha jinsi ujinga ulivyotamalaki Tanzania. Mtu anakuwa na akili za panya kiasi anaamini mpaka aone mtu wa mtaani au ukoo au familia amekumbwa na janga ndiyo ajue kweli kuna tatizo.
 
Sawa mimi ni mjinga na wewe ndio mwerevu. Je, werevu wako ndio unakufanya uwe hapa JF na kuona wengine wote ni wajinga? Nisipokubaliana na msimamo wako nageuka mjinga, kama ni hivyo wewe ndio hatari zaidi kuliko hata ukoma.
Wewe hutaki kuishughulisha akili yako ione jambo kwa undani badala yake unatoa ushuhuda ambao umedanganywa. What a non sense!
 
Umelielewa swali langu? NB.Unategemea data za Ummy ndo ujue corona ipo au imekwisha? Endelea kuamini wafuasi wa kibwetere.Utavuna halali yako soon!
Sasa naona unaruka ruka, ni kweli ummy anatudanganya basi tukubali hilo tuje kwenye ushahidi wa mazingira na tuanze na mtaa wako, ukoo wako na familia yako kama reference. Haya wamekufa wangapi?
 
4 Julai 2020
Mbeya, Tanzania

Kina Mama Inawalazimu Kusafiri Kilometa 70 kupata Huduma za Afya
Wananchi walilia Maendeleo ya Watu toka mwaka 2017 wamejiongeza kwa kufanya harambee 89 lakini serikali haioni juhudi zao za kutaka huduma ya afya kwa Maendeleo ya Watu .

VIFO vya MAMA na MTOTO Wananchi Wamlilia RAIS MAGUFULI, -"Tusaidie Tumechanga Mill 102"

WANANCHI wa Kijiji cha Ifupa Wilaya ya Mbeya wamemwomba Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila kufikisha maombi yao kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli ili kuwasaidia ujenzi wa kituo cha Afya.

Source : Global TV Online
 
Back
Top Bottom