Ukweli ni kwamba ukitaka kuelewana na msomi usimdanganye na huu ndo ukweli! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukweli ni kwamba ukitaka kuelewana na msomi usimdanganye na huu ndo ukweli!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Jomla, Nov 12, 2011.

 1. Jomla

  Jomla Member

  #1
  Nov 12, 2011
  Joined: Sep 25, 2011
  Messages: 69
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  If you have planned to live for a week support flees(7days),if for a year plant maize(1 year),if for a decade plant trees(more than 10yrs) and if for a millenium educate people about conservation of environment(more than 100yrs).Let conserve our environment.
   
 2. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #2
  Nov 12, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,136
  Likes Received: 6,631
  Trophy Points: 280
  ndo nini?
   
 3. Jomla

  Jomla Member

  #3
  Nov 12, 2011
  Joined: Sep 25, 2011
  Messages: 69
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  Huu ni mtazamo unaohusisha life span ya viumbe hawa kwamba kama umejipanga kuishi kwa siku saba yaani wiki uendekeze kulea nzi na mwishowe watakuua mapemaa na kipindupindu,kama umejipanga kuishi kwa mwaka mmoja panda mahindi yanayo chukua tu msimu mmoja yaan mwaka mmoja,pia kama umejipanga kuishi kwa miaka zaidi ya kumi panda miti kwani miti huchukua miaka zaidi ya kumi hivyo utaishi miaka zaidi ya kumi na kama umejipanga kuishi kwa millenia elimisha watu kuhusu uhifadhi wa mazingira kwa elimu hiyo itadumu ndani ya jamii kwa miaka zaidi ya mia moja kwani elimu hiyo itasambazwa kutoka kizazi kimoja kwenda kingine hivyo huweza kukaa miongoni mwa wanajamii zaidi ya miaka mia moja na ndivyo utavyo ishi,sasa chagua utafanya nini kulingana na muda unaohitaji kuishi.
   
Loading...