Ukweli ni kwamba SAMATTA anajua kutupia (kuvaa vizuri) Kuliko Mabishoo wengi wa BongoFleva

Wanaume wanajua kuvaa bongo ni Jux na Samatta na nguo zinawakaa haswa na kuwapendeza.

Domo tarumbeta kamrithisha hadi mwanae tiffa yaani hata wavae nguo ya bilioni hawapendezi kabisa bora hata mimi nikivaa mtumba wangu wa Ilala nakuwa balaa na nawakamata dada zao

Ninataka kufua nasubiri povu
 
Wewe ni jinsia gani?ulichoandika mwanzo na mwisho vinajikanganya
 
Hakuna mtu ambae akivaa hapendezi, sema watuwengi hawajui wavaenini iliwapendeze.
Inatakiwa kujua unachovaa kulingana nawewejinsi ulivyo, utapendezatu.
Sio kuvaatu kwasababu umemuona flanikavaa.
Ndio mana kunawatu spacial ambao kaziyao nikuwaambia watuwavaenini iliwapendeze.
 
Back
Top Bottom