Ukweli ni kwamba SAMATTA anajua kutupia (kuvaa vizuri) Kuliko Mabishoo wengi wa BongoFleva

Nilikua najaribu kumtazama mbwana samatta leo nikagundua jamaa sio kwenye mpira tu hata kwenye mavazi yuko vizuri sana tena kushinda hawa mabishoo wa bongo fleva, Na tena sio mavazi tu hata Gari anayoendesha hakuna msanii mwenye nayo hapa bongo lakini still jamaa ni cool na hana mbwembwe,I respect that.

Wewe ndiyo bwege kabisa kwani yeye wa wapi?
 
Akiwa ulaya anacheza hata katikati ya kundi la Ng'ombe ila akiwa kwenye timu ya Taifa anacheza kwa uoga sana, haka katabia kake huwa kanakera sana.
Mjomba pale Genk ndio ugali wake unapatikana. Timu ya taifa ukiumia hamna chochote utakachopewa zaidi ya pole. Usiombe mchezaji aumie timu ya taifa huku kwetu Africa, lazma afulie. Wenzetu wanaheshimu mikataba endapo utaumia kwenye vilabu vyao.
 
haaaaaaa ni GENK mkuu huu mji naujua Sana nimekaa hadi miaka miwili ila wanaongea kifaransa
Sorry mkuu... Nafikiri nilikuwa nimekariri Ghent kwa sababu zangu binafsi. Nimeishi hiyo nchi pia na ndio mara ya kwanza naisikia Genk
 
Sorry mkuu... Nafikiri nilikuwa nimekariri Ghent kwa sababu zangu binafsi. Nimeishi hiyo nchi pia na ndio mara ya kwanza naisikia Genk


Kama huijui Genk, basi hujawahi kuishi Belgium unataka kuwapiga watu vibomu tu.
 
Yupo kawaida sana huyo

Kwenye kuvaa vizuri hayupo kabisa.

Halafu hata kuongea hajui na kithembe chake.
We jamaa unaweza kuwa unaongoza kwa chuki duniani...recently umetoka unamponda underground wa bongo fleva...apply chuo cha wachawi mkuu
 
Back
Top Bottom