Ukweli ni kwamba Rais Samia hakuwa pamoja na Hayati Magufuli

Kama ulkuwa humjui Kigogo2014, na mvujisha taharifa wa serkali ya magu, basi ujue kuwa ndy huyo huyo bibi mvimba macho au muuwaji wa chini chini.

huyo maza ni hatar sana, japo weng mnamchukulia simple, sabbu ya sura yke ya upole&ukimya.

huyo ni zaid ya. Kwa matukio ya chini chini na unafiki

huyo bibi yenu mtakuja kumjua vzr baada ya yey kuachia nchi, na urais kushikwa na mtu mwngne akianza kufukua mafile yake, kma ilivyo tamadun ya hii nchi, kwa wanasiasa kuchafuana na kulipiana visasi.
Umeandika Utopolo kwa kudhani kuwa unamsema Rais wa sasa kumbe unamsema kipenzi chako Magufuli ambaye makabuli yake yanafukuliwa huku sssa hivi.
 
Unafiki siyo tusi wala neno baya.

Samia pamoja na kuwa alikuwa msaidizi wa Hayati JPM lakini kwa matendo yake ni wazi aliishi na marehemu kinafiki.

Huwezi kuyapuuza ya msaidizi wako endapo ulikuwa naye sawa katika utendaji na kosa kubwa alilolifanya ni kutokujiuzulu ili angalau historia ingekuwa upande wake.

Lakini kwa namna anavyofanya sasa kuyapongeza ya JPM kinafiki si haki hata kidogo.

Yeye afanye yake na asijifiche katika uswahili bwana, tumechoka na hadithi zake.
Hapana mkuu wote ni kitu kimoja
 
Bibi huyu ni mnafiq mbobezi.
 
Mwendazake alikuwa msaidizi wa Kikwete, tunaomba utuambie kwa alivyokuwa akimponda hadharani na kubadilisha kila kitu, je Mwendazake alikuwa pamoja na Kikwete au alikuwa mnafiki? Watu mjue kwamba ubaya wowote unaoufanya kwa watu, na wewe utafanyiwa ubaya huohuo, hata kwa vizazi vyako. Maisha ya urais ya Mwendazake yalionyesha unafiki mkubwa aliokuwa nao wakati wa Kikwete.
Kuonyesha ubabe,,, alimsifia mama Salim kuwa mzuri mbele yake
 
Unafiki siyo tusi wala neno baya.

Samia pamoja na kuwa alikuwa msaidizi wa Hayati JPM lakini kwa matendo yake ni wazi aliishi na marehemu kinafiki.

Huwezi kuyapuuza ya msaidizi wako endapo ulikuwa naye sawa katika utendaji na kosa kubwa alilolifanya ni kutokujiuzulu ili angalau historia ingekuwa upande wake.

Lakini kwa namna anavyofanya sasa kuyapongeza ya JPM kinafiki si haki hata kidogo.

Yeye afanye yake na asijifiche katika uswahili bwana, tumechoka na hadithi zake.
Ndio keshakuwa rais wa awamu ya sita. Hizi nyingi ni kelele tu kama zile za chura wakati Tembo ana kiu anakunywa maji mchana wa jua kali.
 
Unafiki siyo tusi wala neno baya.

Samia pamoja na kuwa alikuwa msaidizi wa Hayati JPM lakini kwa matendo yake ni wazi aliishi na marehemu kinafiki.

Huwezi kuyapuuza ya msaidizi wako endapo ulikuwa naye sawa katika utendaji na kosa kubwa alilolifanya ni kutokujiuzulu ili angalau historia ingekuwa upande wake.

Lakini kwa namna anavyofanya sasa kuyapongeza ya JPM kinafiki si haki hata kidogo.

Yeye afanye yake na asijifiche katika uswahili bwana, tumechoka na hadithi zake.
Kuna essay moja kaandika prof. Shivij juu ya maguphobia kama unajua lugha ya malikia embu fanya kuitafuta itakusaidia kukupunguzia ujinga.
Ukweli ni kwamba MAGUFULI alikuwa kiongozi wa hovyo narudia hovyo kuwahi kutokea Tanzania
 
Unafiki siyo tusi wala neno baya.

Samia pamoja na kuwa alikuwa msaidizi wa Hayati JPM lakini kwa matendo yake ni wazi aliishi na marehemu kinafiki.

Huwezi kuyapuuza ya msaidizi wako endapo ulikuwa naye sawa katika utendaji na kosa kubwa alilolifanya ni kutokujiuzulu ili angalau historia ingekuwa upande wake.

Lakini kwa namna anavyofanya sasa kuyapongeza ya JPM kinafiki si haki hata kidogo.

Yeye afanye yake na asijifiche katika uswahili bwana, tumechoka na hadithi zake.
Kutwa kujifanya makubazi hayamtoshi atayavaaje nayo ni ya kiume!
 
Nilichogundua na ninacho endelea kukigundua kuwaongoza Wa Tanzania ni jambo jepesi sana tena sana,haikuhitaji maarifa mapaana bali uwe na uelewa wa kujua nini wanataka na nini hawataki baaasi!!..kwisha habari yao...Mama kwenye hilo nina mpa hongera na kumuhofia kimaarifa.
 
Yani unachoma moto vifaranga bila hata woga? Siezi shangaa maana kama mpaka leo hatujui Azori na bensanane wako wapi kuchoma moto vifaranga jambo dogo kwake.
Kuna mambo yanafikirisha sana ivi vifaranga vina nguvu kuliko binadamu ... binafamu wamepotezwa lakini hawaulizwi
 
Unafiki siyo tusi wala neno baya.

Samia pamoja na kuwa alikuwa msaidizi wa Hayati JPM lakini kwa matendo yake ni wazi aliishi na marehemu kinafiki.

Huwezi kuyapuuza ya msaidizi wako endapo ulikuwa naye sawa katika utendaji na kosa kubwa alilolifanya ni kutokujiuzulu ili angalau historia ingekuwa upande wake.

Lakini kwa namna anavyofanya sasa kuyapongeza ya JPM kinafiki si haki hata kidogo.

Yeye afanye yake na asijifiche katika uswahili bwana, tumechoka na hadithi zake.
Huo ndio ukweli na vikwazo vyote alivyokuwa anakumbana navyo yeye alikuwa nyuma yake bila shaka hata na nadhani hata ....................mazingira yanajieleza bayana ......................................akitoka tu madarakani ndio atakuwa rais wa kwanza kutoka Tanzania atakayekabiliana na mashitaka ambayo hataamini...............................
 
Back
Top Bottom