Mashabiki wake wanamujaza upepo,wamuulize JPM siku wakitwaliwa,jinsi alivyoponea chupuchupu enzi za Lowassa.Ana miaka 5 ya kujijenga yeye mwenyewe, ila kujijenga kwake nje ya JPM ni kweli, ni sawa na samaki nje ya maji. Time will tell
Alishinda kwa mbinde.