Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,193
Unafiki siyo tusi wala neno baya.
Samia pamoja na kuwa alikuwa msaidizi wa Hayati JPM lakini kwa matendo yake ni wazi aliishi na marehemu kinafiki.
Huwezi kuyapuuza ya msaidizi wako endapo ulikuwa naye sawa katika utendaji na kosa kubwa alilolifanya ni kutokujiuzulu ili angalau historia ingekuwa upande wake.
Lakini kwa namna anavyofanya sasa kuyapongeza ya JPM kinafiki si haki hata kidogo.
Yeye afanye yake na asijifiche katika uswahili bwana, tumechoka na hadithi zake.