Ukweli ni kwamba Rais Samia hakuwa pamoja na Hayati Magufuli

Intelligence Justice

JF-Expert Member
Oct 23, 2020
1,563
2,000
Unafiki siyo tusi wala neno baya.

Samia pamoja na kuwa alikuwa msaidizi wa Hayati JPM lakini kwa matendo yake ni wazi aliishi na marehemu kinafiki.

Huwezi kuyapuuza ya msaidizi wako endapo ulikuwa naye sawa katika utendaji na kosa kubwa alilolifanya ni kutokujiuzulu ili angalau historia ingekuwa upande wake.

Lakini kwa namna anavyofanya sasa kuyapongeza ya JPM kinafiki si haki hata kidogo.

Yeye afanye yake na asijifiche katika uswahili bwana, tumechoka na hadithi zake.
Huo ndio ukweli na vikwazo vyote alivyokuwa anakumbana navyo yeye alikuwa nyuma yake bila shaka hata na nadhani hata ....................mazingira yanajieleza bayana ......................................akitoka tu madarakani ndio atakuwa rais wa kwanza kutoka Tanzania atakayekabiliana na mashitaka ambayo hataamini...............................
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom