Synthesizer
JF-Expert Member
- Feb 15, 2010
- 11,143
- 18,774
NI kweli hakuna cha kushangilia wala kujisifia kwamba sasa tumekuwa katika kundi la nchi zenye uchumi wa kati. Kumbukeni kwamba watu hao hao wanaosema Tanzania sasa iko uchumi wa kati, ndio wanaotoa vigezo vya kuendelea kuiweka Tanzania katika kundi la Nchi Masikini Kuliko zote Duniani (LDCs)
Sababu kubwa ni kwamba kuna vigezo viwili zaidi ya GNIP vinavyotumika kuamua kama nchi ni masikini au la na kuiweka au kutoiweka kwenye kundi la ncho masikini kuliko zote duniani.
Hadi sasa kuna nchi 31 ambazo ziko katika kundi za LDC na zina uchumi wa chini, na nchi 18 ambazo zina uchumi wa kati lakini bado ni LDC.
Swali la kujiuliza ni kwamba, kwa nini Tanzania ni LDC, moja ya nchi masikini kuliko zote duniani?
Wale tulio na akili tuendelee kusubiri Tanzania kujitoa katika kundi la nchi masikini kuliko zote duniani.
Na wengine endeleeni kushangilia na kupongezana na kumsifia Raisi Magufuli juu ya Tanzania kuingia uchumi wa kati, lakini ukweli ni kwamba Tanzania bado ni moja ya nchi 47 duniani ambazo ni masikini kuliko zote duniani - LDC!