britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
Ukweli CCM ilijijengea Heshima zamani, Ila kwa sasa mambo yanaenda ndivyo sivyo,
Kwasasa Ndani ya CCM kuna mvurugano mkubwa wa hali ya Juu,
Pamoja na Kugawanyika vipande ndani ya Chama kuna viongozi wakuu wa zamani wamekuwa kimya bila kutaja pande zao,
Leo hii CCM imegawanyika pande 3
1.Wale Pro Magufuli bila kujali anakosea au anapatia kwa afanyayo,
2.Against Magufuli
Hawa hawana muda hata wa kuchambua na kujua ama Magufuli anafanyayo
3.Kuna wale ambao ni wachambuzi makini
Lakin asilimia kubwa wanamsaport Membe
Upinzani Wanaweza kupima je waende na Membe au Lissu,
Wengi wanaompenda Lissu wanahofu je anaweza akarudi Tanzania bila kubambikiwa kesi?
Wengine wanaona Bora Membe ambaye anayaishi maisha ya Kutishiwa ndani ya Tanzania Kuliko Lissu ambaye anahofia usalama wa Maisha yake ndani ya Tanzania, itamnyima nafasi ya kucheza Karata zake vyema,