Ukweli ni kwamba Kesi ya Freeman Mbowe imefunika kila kitu nchini Tanzania

Unaonaje kifanyike kauchunguzi ambacho itakuwa wanawahoji hao wananchi wanaelewa nini kuhusu kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chadema na nini kinaendelea hadi sasa kuhusu hiyo kesi?
 
Nenda huko mtaani utaona watu wapo busy kutafuta dona la kula na familia zao hiki unachokiongelea hapa kinabaki hapahapa jukwaani mtaani wa hawana habari!
Wewe imekuaje ukachomoka mbio huko mtaani kuja ku comment humu jamvini??? Familia yako haihitaji dona??? Bora ungekaa kimya!!
 
Kwa Hakika Huyu Mtu sasa imedhihirika kwamba Umaarufu wake ni Mkubwa kuliko tulivyodhani , na naweza kuthibitisha sasa kwamba Freeman Mbowe , ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema na Mfungwa wa kisiasa ndiye MTU MAARUFU KUPITA WOTE WALIO HAI NCHINI TANZANIA KWA SASA .

Hii ni kwa sababu hakuna taarifa yoyote sasa , iwe kutoka kwa waziri , Waziri Mkuu au Rais inayotiliwa maanani na wananchi kuzidi kesi ya uongo ya Ugaidi , maana ya jambo hili ni kwamba hakuna kiongozi yeyote katika niliowataja anayeaminiwa na wananchi kuzidi Freeman Mbowe , ukitaka kujua zaidi hebu angalia mambo mazuri kama Wachezaji wa Twiga Stars kupewa viwanja , habari hii nzuri imepuuzwa kabisa na watanzania kwa vile wote wanaangalia Mahakamani kwenye kesi ya Ustaadh Aboubakar Mbowe , nimeshangaa sana !

Hili kwetu ni funzo kubwa sana .
"Jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni".
 
Chobingo wanaonekana Ibambasi, Idugunde, Jumbe Brown, johnthebaptist, Wakudadavuwa na binamu zao:

IMG_20211016_132442_593.jpg

wakipiga chanjo 😁😁.
 
Na tuliwapa angalizo watawala kuwa kesi hii ni ya kihistoria na itazaa Tanzania mpya inayoongozwa na viongozi waliochaguliwa kwa ridhaa ya wananchi huku kauli mbiu yake bila kujali vyama ni visheni ya nchi yenye kusimamia Haki, Uhuru na Maendeleo ya Watu.
Acheni mahakama ifanye kazi msije kuja kudai haki imeminywa
 
Nenda huko mtaani utaona watu wapo busy kutafuta dona la kula na familia zao hiki unachokiongelea hapa kinabaki hapahapa jukwaani mtaani wa hawana habari!
Kama wewe Lumumba FC unakodolea macho kwa hamu sembuse Wazalendo?
 
Naona baadhi ya Wazalendo wanaomba kesi iahirishwe ili kupisha bunge , hii ni kwasababu kesi imelifunika bunge
 
Similar Discussions

25 Reactions
Reply
Back
Top Bottom