RUKUKU BOY
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 1,467
- 1,669
Binafsi mie ni CCM toka mwaka 2011.
Kilichotokea mwaka Jana ni aibu tupu, na ushenzi uliopitiliza, hivi inawezekanaje CCM tushide majimbo yote kiasi kile, inawezekanaje Magufuli ashinde kwa kiwango kile.
Ni hivi kila mwaka CCM tunaibaga kura Ila kiakili, mfano tunaiba baadhi ya majimbo, Ila kwenye stronghold za upinzani tunawaachia.
Kilichotokea mwaka Jana ni upumbavu wa hali ya juu, niwaambie kuwa CCM wanaitaji Sana upinzani bungeni, kina Magufuli, Bashiru, polepole na Tiss walivyoshtuka kuwa bunge lazima liwe na kambi rasmi ya upinzani bungeni ndo wakaja kununua hao Covid-19, lakini ilikuwa too late, yaani kwa wizi ule walijipaka kinyesi usoni.
Na watu wengi wa CCM hatukupenda ushenzi ule,, na matokeo yanaonekana wapinzani wamekuwa very strong, wanajenga ofisi nchi nzima na wizi wa mwaka Jana umekuja ku-backfire na Sasa vuguvugu la katiba mpya linazidi kuwa kubwa.
Viongizi wa CCM najua mmejifuza, kutumia manguvu, kununua upinzani na kuiba uchaguzi ni hatari si kwa taifa Bali kwa chama pia