mtoto wa mjini
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 1,754
- 896
Kazi/lengo la nadharia(theory) ni nini?Kinachowafanya watu wapingane sio ukweli, bali kinachofanya watu wapingane ni Nadharia (Theory)

Chochote kilicho na asili ndiyo ukweli kwasababu ndivyo kilivyo kwa jinsi yake. Hakuna kisicho na asili halafu kiwe ukweli!Kwa hiyo una maanisha hakika inazaliwa baada ya Ukweli?!..
Kwa maana hakika inatokana na instict ya mtu mwenyewe?!
Let me break it Down..
Well umesema ukweli una Asili,nambie ni nini kisicho na Asili lakini bado ni kweli??
Habari wana JF
Wakati tunaelekea mwisho wa mwaka kwenye msimu wa sikukuu nimejaribu kutafakari peke yangu hili jambo tajwa hapo juu (ukweli ni kitu gani?) bila mafanikio. Msingi wa tafakari yangu unatokana na maandiko matakatifu (biblia agano jipya) ambapo Yesu aliulizwa na Pilato je ukweli ni kitu gani? Bahati mbaya muandishi hakueleza kama Yesu alijibu na jibu lake lilikua ni lipi? (kwa wale wenye uelewa zaidi ya huu watanijuza pia).
Kwa kutumia uwezo wangu nimejaribu kujiuliza hili swala muda mrefu sana nisipate jibu lake. Mara nyingine utaona watu wanabishana na kila mmoja ana amini anachosema ni cha ukweli, sasa hapo shida ndipo inapoanza ukweli ni upi sasa?
Tafsiri ya kwanza inaweza ikawa, ukweli unaweza ukawa ni maneno au jambo analolisema mtu amabalo analoliamini na yuko tayari kulishuhudia lakini linaweza likawa sahihi au siyo sahihi. Ni nini basi kinachoamua usahiii wa jambo? mara nyingi ni imani (dini au mila), mapokeo, maono (jinsi lilivyoonwa) na mazoea. Hali kadhalika imani, mapokeo, maono na mazoea yanaweza yakawa na tafsiri tofauti kati ya waumini wa imani moja na nyingine, au jamii moja na nyingine au mtazamaji mmoja na mwingine.
Kwa maana hiyo basi jambo moja linaweza likawa na tafsiri zaidi ya moja kulingana na imani, maono, mapokeo na mazoea. Kwa mustakabali huo basi, ukweli ni kitu gani? je kuna ukweli mmoja (universal truth) au kuna various versions of truths? Naomba kujuzwa.
Hii ndo CCM mpya na Jamii forum mpya, Kuanzia baadhi ya moods wafuta post hadi baadhi ya wasomaji wanastahili neno la mwisho kwenye sentensi yako.
Ukweli ni kile unachoamini wewe kama wewe bila kumlazimisha mtu mwingine kuamini!Habari wana JF