Ukweli ni huu, Tanzania ina madini mengi mpaka mengine tunajengea bila kujua

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,720
Sio jambo la kushangaza ila ni ukweli mtupu baada ya kuwa na zunguka kwenye utafiti wa kujifunza.

Tanzania tuna madini kama kweli tunaweza kufahamu jinsi ya kuyachenjua basi tungekuwa mbali.

Kwanini?

Ukosefu wa elimu kuhusu jinsi ya kupata madini kama gold ndio unafanya kutofahamu mpaka mtaalamu maalumu kusema hapa kuna madini.

Visa vingi mfano kanda ya ziwa unaweza kushangaa panapo gundulika ni sehemu ya makazi, vijiji au shamba la mtu na watu kuvamia kwa ajili ya kuchimba.

Ukamataji wa gold ni utaalamu wa hali ya juu na hupo kikemia sana

Nimechukua sample nyingi kujua kweli gold hipo na kila unapokwenda uwezi kukosa asilimia za pp au.

Sitangazi biashara wala sio mtu wa madini lakini ukiona mwangaza una waangaza na wenzako.

Onyo
Usijiingize kwenye biashara hii kama unasikia tu, utafirisika kila kitu
 
Nimelipenda hili onyo, kuna jamaa zangu walikimbilia kamgodi uchwara fulani aise wamekula hasara yakueleweka. Yaani akikwambia tu nimetumia kiasi hichi alafu bado bila bila mwenyewe tu unajiongeza Mwamba kala loss
 
Dunia imeundwa kwa madini, kila sehemu kuna madini, lakini si kila sehemu unaweza kuchimba madini kwa faida.
 
Mjomba'ngu baada ya kustaafu mwanae na shemjie wamemshawishi kuingia kwenye biashara hii ya madini,. Yaani naona kabisa anavyoenda kulala yoooo"😢
 
Back
Top Bottom