Ukweli ni huu, huyu ndio mchawi mkubwa kabisa wa hii ishu ya Dawa za Kulevya

Kibstec

JF-Expert Member
May 21, 2016
1,205
2,338
Mkubali mkatae kama M/KITI asingetajwa kwenye hii list ya MADAWA YA KULEVYA nadhani saivi nchi hii ingekuwa inaelekea kwenye hatua kubwa sana juu ya hii ishu ya kupambana na MADAWA ya kulevya HATA VIONGOZI wa chadema sasa hivi wangekuwa wanapiga stori tofauti kabsa juu ya ishu hii.....Inawezekana tungeweza sikia yafuatayo....

....Watuhumiwa wapewe adhabu inayostahili au pia Watuhumiwa wangeweza tetea
....Mbna fulani ajatajwa wametajwa vidagaa....
....Mbna mtuhumiwa fulani kapewa dhamana.....

Na hili litwagharimu sana CDM maana kila mtu sasa ndani ya NCHII HII ameishatambua ULAGHAI WAO na itawachukua muda sana kuzirudisha akili za WATANZANIA kwenye mstari wa kuendelea kuwaunga WAPINZANI MKONO
 
Basi inabidi ulaumu utawala wenu, nyie ndo wenye mamlaka kutoka juu mbinguni iweje f6 kama mnavyotoa povu kwa nn awashinde?

Btw siku zote kumbuka ukweli utangulia mbele.
 
Tunataka Tanzania ya Viwanda. Msihamishe Magoli kwenye issue ya Madawa ya Kulevya.
Miaka 2 inakatika, hamjajenga Kiwanda hata kimoja. Mnasema cha Bakhresa nacho chenu.
Tunataka Laptop kwa kila Mwalimu na Milioni 50, 50, kila kijiji.
Uongozi sio mchezo mchezo!
Ahsante sana mkuu kwa kuyakumbusha haya!
 
Bora niweke maneno ya akiba
Mana hicho ulichokiandika naona nawewe ni katika kundi la waleeeee
 
Ivi ni kweli kabisa kabisa tunapambana na mihadarati au ndo tumeanza kampeni?
 
Pole sana. Mtanzania anasubiri chakula. Njaa inauma. Wewe unaro....ka tu
 
Mbona hii approach ilikosolewa hata kabla ya huyo unayemuita "mchawi" wa haya maigizo kutajwa?
 
CDM: Wananchi wote wameshatambua ulaghai wa CCM na serikali yake

CCM: Kila mtu kashawashtukia CDM walivyo waongo na walaghai

Mimi: Tutoleeni upuuzi wenu...wote vilaza tu
 
Ilidaiwa kuwa Leo kuna mweleka mwingine saa NNE but naona mida inakwenda au tayari?
 
Tunataka Tanzania ya Viwanda. Msihamishe Magoli kwenye issue ya Madawa ya Kulevya.
Miaka 2 inakatika, hamjajenga Kiwanda hata kimoja. Mnasema cha Bakhresa nacho chenu.
Tunataka Laptop kwa kila Mwalimu na Milioni 50, 50, kila kijiji.
Uongozi sio mchezo mchezo!
Nani ajenge kiwanda?
 
Tanzania nchi ya vwanda na Zanzibar nitaigeuza Dubai ya Afrika mashariki. Loo hawa jamaa wanapiga madili yao ya kupatia kura tu. Mlo mmoja umeanza kusumbua kwa baadhi ya familia , je kweli Dubai itafanikiwa.
 
Endeleeni kuleta propaganda. Viwanda bdo hamjajenga, mil 50 bdo sana. Mtaani kuna awamu 2 za wahtimu ambao wanasubili ajira.
 
Tunataka Tanzania ya Viwanda. Msihamishe Magoli kwenye issue ya Madawa ya Kulevya.
Miaka 2 inakatika, hamjajenga Kiwanda hata kimoja. Mnasema cha Bakhresa nacho chenu.
Tunataka Laptop kwa kila Mwalimu na Milioni 50, 50, kila kijiji.
Uongozi sio mchezo mchezo!

Usiseme tunataka, sema wewe unataka. Mimi mbona viwanda naviona vingi tu. Labda hata tafsiri ya viwanda huijui. Kiwanda gani kitaendeshwa na mateja wakati nchi nzima mateje, bunge karibu wote wauzaji!
 
Back
Top Bottom