"Ukweli ndio huu"

Pumzi

JF-Expert Member
Dec 5, 2013
321
54
Ukweli ni kwamba hakuna urafiki wa karibu sana kati ya msichana na mvulana...ingawa wengi huwa wanakataa lakini ukichunguza kwa makini utakuta mmoja wapo anahisia na mwenzake sema anaogopa kusema,au wote wanahisia lakini wanashndwa kusema...binafsi nimeshndwa kutengeneza urafiki na wasichana zaidi ya watano kwa kujikuta tunahishia kwenye mapenzi...hata socrates alisema hakuna urafiki wa karibu kati ya msichana na mvulana
 
^^
Karibu kwenye ulimwengu wa ukweli,,achana na Plato/Socrates/Aristotle ambao hata kwenye silabasi za wagriki hawatumiki tena.
..
Nina marafiki wa kike zaidi ya sita,,wananiheshimu kama kaka nawaheshimu kama dada. Najua mipaka yao wanajua mipaka yangu..Mwaka wa 7 leo mawasiliano yapo.

Unaweza tu kuwa umedanganywa au umejidanganya

Mbona hilo linawezekana tu?
Tena kwa kiwango kikubwa sana!
 
huo ni ukweli, lazma mtaishia kutongozana na mmoja asipokuwa strong mtagegedana.
 
Mimi ninao marafiki wananiheshimu hawana hata wazo juu yangu. Tunasaidiana kuanzisha mahusiano. Akipata mrembo mpya lazima nipime viwango. Hata bf wangu anao marafiki wasichana na mwisho wa siku urafiki wetu unakuwa wa couple sasa. Wewe kama unatumia gear ya urafiki kuficha hisia zako, pole. Wenzio ikiwa ni urafiki ni urafiki tu, usiwatishe watu. Inawezekana.
 
Kaka kumbe nyie mmewekeana mipaka? Dats y hakuna matatzo,tofaut na hapo lazima mgeingia kwenye matamanio
^^
Karibu kwenye ulimwengu wa ukweli,,achana na Plato/Socrates/Aristotle ambao hata kwenye silabasi za wagriki hawatumiki tena.
..
Nina marafiki wa kike zaidi ya sita,,wananiheshimu kama kaka nawaheshimu kama dada. Najua mipaka yao wanajua mipaka yangu..Mwaka wa 7 leo mawasiliano yapo.
^^
 
Labda mm nina matatizo maana nina marafiki wa kike 6 ambao niko nao karibu sana kwa miaka mingi cjawahi kua nahisia nao na naheshimu uhusiano wao km wanavoheshim uhusiano wng na kuna raha yake pia
 
Ukweli ni kwamba kuna kpnd urafk utawashnda na mnaweza kujikuta cku 1 mkafanya mapenz hata kwa bahati mbaya chunga sana
Mimi ninao marafiki wananiheshimu hawana hata wazo juu yangu. Tunasaidiana kuanzisha mahusiano. Akipata mrembo mpya lazima nipime viwango. Hata bf wangu anao marafiki wasichana na mwisho wa siku urafiki wetu unakuwa wa couple sasa. Wewe kama unatumia gear ya urafiki kuficha hisia zako, pole. Wenzio ikiwa ni urafiki ni urafiki tu, usiwatishe watu. Inawezekana.
 
Siyo uongo unaweza kuta kwa upande wako hauna time nae lakn yeye amekufa kwako sema anashndwa kusema 2,.mapenzi ni mapana sana
Narudia tena,acha kusema uongo bana!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom