Watu wenye akili kubwa na sawa hujadili maswala (isues),Wale wenye akili za wastani hujadili matukio(events) na wale wenye akili ndogo na dhaifu huwajadili watu.(they discus people)

Kwa hiyo unataka tufanye nini kule kwenye jukwaa la selebritizi?Watu wenye akili kubwa na sawa hujadili maswala (isues),Wale wenye akili za wastani hujadili matukio(events) na wale wenye akili ndogo na dhaifu huwajadili watu.(they discus people)
Mbona semi kongwe sana kupita mno ?
Huja discus namna ya kupata semi currently ?
Kama bado jitahidi ktk ubunifu!
Nway usiku mwema.