Ukweli ndio huu.

NGOWILE

JF-Expert Member
Sep 8, 2011
454
258
Watu wenye akili kubwa na sawa hujadili maswala (isues),Wale wenye akili za wastani hujadili matukio(events) na wale wenye akili ndogo na dhaifu huwajadili watu.(they discus people)
 
Wewe uko kundi gani???

Watu wenye akili kubwa na sawa hujadili maswala (isues),Wale wenye akili za wastani hujadili matukio(events) na wale wenye akili ndogo na dhaifu huwajadili watu.(they discus people)
 
Ndo dunia ilivyo mkuu. Lazima iwe na vichaa mambulula vilaza vibaka. Haiwezekani watu wakawa sawa! Tusingeweza kuishi.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mbona semi kongwe sana kupita mno ?
Huja discus namna ya kupata semi currently ?
Kama bado jitahidi ktk ubunifu!
Nway usiku mwema.
 
Watu wenye akili kubwa na sawa hujadili maswala (isues),Wale wenye akili za wastani hujadili matukio(events) na wale wenye akili ndogo na dhaifu huwajadili watu.(they discus people)
Kwa hiyo unataka tufanye nini kule kwenye jukwaa la selebritizi?
 
Mbona semi kongwe sana kupita mno ?
Huja discus namna ya kupata semi currently ?
Kama bado jitahidi ktk ubunifu!
Nway usiku mwema.

unamuambia.korokoroni wangu usiku mwema ili uje kuniibia ama? Hebu tumdiscuss ili tujue tuko kundi gani.
 
Watu wenye akili kubwa na sawa hujadili maswala (isues),Wale wenye akili za wastani hujadili matukio(events) na wale wenye akili ndogo na dhaifu huwajadili watu.(they discus people)

Kwa hiyo?
 
Ni mpya kwako hii? au ndo vile tena ili mradi vmeanzisha thread
 
Back
Top Bottom