Ukweli ndio huu wadada... Kipofu hawezi kumuongoza kipofu mwenzake!

kupenda ni upofu, na kuolewa ni bahati, kwa hiyo wasipopata wanaume wa sifa hizo....... wasiolewe......?
kuna bahati nzuri na mbaya..so unaweza kuwa umepata mbaya au nzuri
bora usiolewe kabisa kuliko kuolewa na kachiri..sio wanaume wote wameumbwa kuoa
 
kweli mimi kwa kilaza sirushi mguu
mtu kareseat form form mara mia
hana maisha ya kueleweka
hapana hapana
hajui ata kuuza nyanya
no big no
Smile Bazazi hajasoma kabisa na masikini lani hizo bastola zako zinamtesa sasa afanye nini?
 
Last edited by a moderator:
Bora Zion umemuona na wewe

Huwa simwelewi kabisa huyu, yaani kwake mwanamke na kijiko
Kijiko kina thamani aisee

Pole sana..It seems u dont know the Glory of tendo la ndoa (the so you call utamu)..Pia hutambui thamani ya mwanamke na tena unafikiri pesa inaweza kununua kila kitu..

UJUMBE : Mwanaume kiini cha mabadiliko...Change ur attitude.. for better.


Nadhani kujifunza kuwa na kiasi inasaidia
Kuna watu wako after money hadi najiuliza, mie utamu wa pesa mbona siupati kihivyo?
Hata nikizilamba kwa ulimi bado sipati utamu huo
Au nina roho ya kimaskini sana?

Lol, hapo kwenye kuacha familia ama mume unahitaji kureason out. Kuna thread ya Mbu aliwahi kuongelea ukomo wa kutafuta. Ni muhimu kuwa na kiasi, sio unakuwa unakimbiza shilingi hadi siku ya kufa!
Kuna sala moja in the bible mtu alisema ' Mungu niumbie roho safi iliyotulia. . . .? Usinipe utajiri wala umaskini' hii ni muhimu, ila kazi si kipimo cha utu jamani? Mie kazi inanipa satisfaction pia. Ni adventure, kika siku najifunza jambo na kusoshalaizi.
 
Pole sana..It seems u dont know the Glory of tendo la ndoa (the so you call utamu)..Pia hutambui thamani ya mwanamke na tena unafikiri pesa inaweza kununua kila kitu..

UJUMBE : Mwanaume kiini cha mabadiliko...Change ur attitude.. for better.[/QUOT

i do agree with u kuhusu glory ya tendo la ndoa maana sijaoa so mie najua utamu wa ngono.
kuhusu mwanamke well namthamini...the mere fact that i approach and sleep with her tayari ni ishara kuwa namthamini if i didnt wala nisingekuwa na shida nao.

pesa ni vitu vingi lakini sio kila kitu. but i am fully congnizant of the fact that without it, a man's chance of landing a wife, gf, prostitute are reduced. so tho it cant buy love it certainly can facilitate the process of finding love.
HESHIMU PESA FOR WHAT IT CAN DO FOR U ILA USIPENDE PESA!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom