Ukweli ndio huu wadada... Kipofu hawezi kumuongoza kipofu mwenzake!

Bado kuna kitu sijaelewa hapa, hivi kama Mwanamke ni kiumbe kamili ni kwa nini ahitaji viti maalum na kuhudumiwa kila kitu nyumbani?

Tukubaliane tu na utamaduni wa Waarabu kwamba mwanamke ni chombo cha starehe tu na unapaswa kukaa nyumbani ili mume awe responsible for 100% to cover all expenses.
 
Na wewe!!!!!???

hahaha mie nini jamani...mbona nasema ukweli tuu ahahha (najua mwanichukia wanawake humu)

sasa nini mbona mie nakubali kuwa siwezi date klynn wa mengi so y iwe ngumu kwako wewe mwanamke kukubali kuwa huwezi hongwa bmw coz u simply aint that beautiful...ndio maisha.

wanawake luk for the security that money provides. pili money means more adventures hence more fullfilling life. so wanawake wajienjoy tuu na wanaume tutaendelea kumwaga pesa kupata utamu
 
Haya baba kwa raha zenu wala hamgombwi!
 
Haya baba kwa raha zenu wala hamgombwi!

hahaha sema kwa raha zetu kwani nyie hampati raha...aaarrrrgggg mnaniboa nyie wanawake ambao u make it seem mwanaume tuu ndio anafaidi tendo....basi msipanue miguuu yenu kama u feel sie ndio twafaidika sana
 
Sijamaanisha raha ya tendo,

Mi nimesemea nyie kuenjoy kumwaga pesa!
Yeah......!
 
Na akifilisika ataachika?
Seriously nimewahi ona mdada kapiga chini mchuchu baada ya kaka kuugua non terminal disease. Women!
mh mie niliwahi kusikia mdada fulani akisema kuwa KUZALIWA KATIKA FAMILIA MASKINI HAKUEPUKIKI, LAKINI KUOLEWA NA MWANAUME MASKINI NI KUJITAKIA
 
That would be a perfect scenario. Lakini kuna mwanaume anaweza kucover 100% of my needs? And still be the best lover (anipigie simu just to laugh with me, flirt and be there for me when i need him?)Sometimes i wake up in the morning and wish i was a princess and i didnt have to go to work. Natamani ratiba ya gym, bfast, shopping, shopping, and shopping bila kuwaza price tags. Followed by a saloon treat (pedicure, manicure and hairdo), massage then a movie.
Lakini can my man provide all that? For the rest of my life? Well, uzuri i will get bored befor anachoka mbaya.
Bado kuna kitu sijaelewa hapa, hivi kama Mwanamke ni kiumbe kamili ni kwa nini ahitaji viti maalum na kuhudumiwa kila kitu nyumbani?

Tukubaliane tu na utamaduni wa Waarabu kwamba mwanamke ni chombo cha starehe tu na unapaswa kukaa nyumbani ili mume awe responsible for 100% to cover all expenses.
 
Lol, hapo kwenye kuacha familia ama mume unahitaji kureason out. Kuna thread ya Mbu aliwahi kuongelea ukomo wa kutafuta. Ni muhimu kuwa na kiasi, sio unakuwa unakimbiza shilingi hadi siku ya kufa!
Kuna sala moja in the bible mtu alisema ' Mungu niumbie roho safi iliyotulia. . . .? Usinipe utajiri wala umaskini' hii ni muhimu, ila kazi si kipimo cha utu jamani? Mie kazi inanipa satisfaction pia. Ni adventure, kika siku najifunza jambo na kusoshalaizi.
na labda tuko tofauti, napenda sana pesa.
Ila pesa hainipi satisfaction ya maisha.

To me, i see money as a tool, not the purpose for living.

Kuna saa huwa najichanganya au nashindwa elewa unamwacha mme au familia for money.

Sijavuta bangi ndo maana sielewi.
 
Last edited by a moderator:
That would be a perfect scenario. Lakini kuna mwanaume anaweza kucover 100% of my needs? And still be the best lover (anipigie simu just to laugh with me, flirt and be there for me when i need him?)Sometimes i wake up in the morning and wish i was a princess and i didnt have to go to work. Natamani ratiba ya gym, bfast, shopping, shopping, and shopping bila kuwaza price tags. Followed by a saloon treat (pedicure, manicure and hairdo), massage then a movie.
Lakini can my man provide all that? For the rest of my life? Well, uzuri i will get bored befor anachoka mbaya.
Kitu kikubwa kinachobore kwenye nchi yetu 90% ya Watanzania wanatafuta maisha mpaka siku ya kufa badala ya kuishi, mimi kama Matola nimeshachoka kutafuta maisha kila siku sasa nahitaji kuishi, ndio maana wengi wetu neno vacation anakutana nalo kwenye kamusi tu wala hajui vacation ndio nini, hii ni kwa sababu hatuishi bali tunatafuta maisha.
 
Bado kuna kitu sijaelewa hapa, hivi kama Mwanamke ni kiumbe kamili ni kwa nini ahitaji viti maalum na kuhudumiwa kila kitu nyumbani?

Tukubaliane tu na utamaduni wa Waarabu kwamba mwanamke ni chombo cha starehe tu na unapaswa kukaa nyumbani ili mume awe responsible for 100% to cover all expenses.
sio lazima mwanaume ahudumie kila kitu maisha yamebadilika kila mtu apigane
mimi nakataa ile haki ya mwanamke unaona mwanamme ni choka mbaya hajishughulishi kwa lolote na wewe unajipeleka eti ipo siku atapata...kwa nini asipate leo?
 
Najua wengine watapinga lakin huu ndio ukweli,naandika hivi kwa sababu nimeona wake za watu wengi wakidanganywa na kujipendekeza kwa wanaume wengine kwa sababu ya vitu vidogo dogo kama vocha,pesa za salun,nguo etc
Mim nashauri msichana kabla ujaolewa angalia kwanza mtu wa kuolewa naye,kama ni mwanaume suruali au mtafutaji ili asije kukupeleka pabaya.
wasichana waliotokea familia ya chini ni bora muolewe na mtu kutokea familia ya kuanzia wastani,ili muweze kujikimu kwa mambo madogodogo,hasara ya msichana kutokea familia ya chini kuolewa na kijana duni inaweza kupelekea msichana kuja kushawishika na mambo madogo ambayo yako nje ya uwezo wake,simaanishi vijana wa hali ya chini wasipate mke ila wajitaid waondokane na hali duni ndio wafikirie kuoa.
Wadada wengi wanaotokea familia duni wakioa mtu duni wanaish maisha duni na mara nyingi mwanaume anakuwa na hasira sana ata inapotokea mke ametumia pesa sh3000 bila kumwambia mme wake atapokea kipigo.
nashauri wadada kuepuka hivo ni bora ukaolewa na mwanaume mtafutaji na mwenye kujikimu ili muishi maisha bora yasiyo na shida ndogo ndogo kamwe kipofu awezi kumuongoza kipofu mwenzake

kupenda ni upofu, na kuolewa ni bahati, kwa hiyo wasipopata wanaume wa sifa hizo....... wasiolewe......?
 
hahaha mie nini jamani...mbona nasema ukweli tuu ahahha (najua mwanichukia wanawake humu)

sasa nini mbona mie nakubali kuwa siwezi date klynn wa mengi so y iwe ngumu kwako wewe mwanamke kukubali kuwa huwezi hongwa bmw coz u simply aint that beautiful...ndio maisha.

wanawake luk for the security that money provides. pili money means more adventures hence more fullfilling life. so wanawake wajienjoy tuu na wanaume tutaendelea kumwaga pesa kupata utamu
Pole sana..It seems u dont know the Glory of tendo la ndoa (the so you call utamu)..Pia hutambui thamani ya mwanamke na tena unafikiri pesa inaweza kununua kila kitu..

UJUMBE : Mwanaume kiini cha mabadiliko...Change ur attitude.. for better.
 
He!!! wanaume wenyewe mgogoro kuwapata ati!!!! wakianza kuchambua si ndo watakosa kabisa????????????? halafu mimi sikubaliani na wewe kwa asilimia zote. Nachojua na nachoamini mimi siyo maisha duni yanayomfanya mtu kuwa na tabia hizo bali inakuwa ni tabia zake hata angepewa pesa kiasi gani kwa vyovyote vile angefanya. Kwani wangapi tunawaona kila kukicha wana maisha mazuri lakini bado wanakukuruka na vidumu pembeni??????

RISA mara nyingi nimekuwa sikubaliani sana na comments zako ila kwa leo naomba nikupe 100% kutokana na jinsi ulivyoweza kudadavua jambo hili. Ukweli nikuwa wapo vijana wengi tena sana tu wametoka katika familia tajiri na wamepewa mitaji mikubwa mara kadhaa lakini wameishia kunywa gongo au pombe za kienyeji. Kwa ujumla suala hili ni BUSARA ZA MTU MWENYEWE. WATCH OUT!
 
Hivi Graduation ya JF lini? Maanake JF ni zaidi ya Kanisa na Msikiti, Tuanzishe Chuo chetu cha JF au mnasemaje wadau?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom