ukweli mtupu,taasisi za dini zinafanya mambo kwa kusoma hoja mitandaoni

PAZIA 3

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
1,070
1,842
Pande zote ukizisikiliza,utagundua hazijui zinatetea nini,hii ni hatari sana kwa ustawi wa taifa letu,taasisi hizi zinatakiwa ziwe na miongozo yake kuhusiana na maswala ya kitaifa hasa siasa na siyo kusoma hoja za mitandaoni na kuzifanya ajenda zao
Refer nyalaka za taasisi hizo
 
Biblia, Quran zinapatikana mitandaoni sa taasisi za dini zikisoma hoja mtandaoni kuna dhambi gani???

Hoja ya msingi ni kwamba uchumi unadorora, katiba imesiginwa na raia wanauwawa kikatili. Tumsake mchawi hapo !!!
 
Hawa ndio wajinga ambao chama chetu kinawategemea! Wewe ulitaka wapate habari wapi? Unadhani mitandao sio vyanzo vya habari au? Viongozi wa dini wana "sources" tena"credible" ambazo wanapata habari so wewe unaesoma facebook na jamii forums ndio unaona unajua kumbe kapuku tu
 
Je,wale wengine hawafanyi mambo kwakusoma mtandaoni? Maana vitisho viiingi ukiuliza habari imetoka wapi,utasikia mtandaoni.Ni dhahiri ulichoandika hujakifanyia utafiti.Jaribu kutafuta namna bora ya kupangilia hoja ili watu wenyeakili timamu waone kuwa unaweza kutumia logic.
 
Pande zote ukizisikiliza,utagundua hazijui zinatetea nini,hii ni hatari sana kwa ustawi wa taifa letu,taasisi hizi zinatakiwa ziwe na miongozo yake kuhusiana na maswala ya kitaifa hasa siasa na siyo kusoma hoja za mitandaoni na kuzifanya ajenda zao
Refer nyalaka za taasisi hizo
Kwani hoja za mitandaoni si hoja? And what do you mean by hoja za mitandaoni - watu hawauawi kweli? Akwilina hajauawa na polisi? Allen wa Mbeya hajauawa na polisi? Lissu hakupigwa risasi na watu wanaoonekana kutumwa na huyo shetani wenu?
 
Pande zote ukizisikiliza,utagundua hazijui zinatetea nini,hii ni hatari sana kwa ustawi wa taifa letu,taasisi hizi zinatakiwa ziwe na miongozo yake kuhusiana na maswala ya kitaifa hasa siasa na siyo kusoma hoja za mitandaoni na kuzifanya ajenda zao
Refer nyalaka za taasisi hizo

Pande zote ukizisikiliza,utagundua hazijui zinatetea nini,hii ni hatari sana kwa ustawi wa taifa letu,taasisi hizi zinatakiwa ziwe na miongozo yake kuhusiana na maswala ya kitaifa hasa siasa na siyo kusoma hoja za mitandaoni na kuzifanya ajenda zao
Refer nyalaka za taasisi hizo

Unataka watoe wapi? Dunia zima sasa hivi ni digital, news, vyuo vikuu, elimu, kila kitu ni mtandao. Karibu 90 percent ya majarida yote duniani yapo mtandaoni wewe unataka watoe wapi?

AI, internet of the things etc, all digital, hapa mjini kwetu kila kitu kinanunuliwa mtandaoni, wewe unaishi wapi? Mfukoni sijawahi kuweka pochi ya pesa; mie na simu tu; na finger print tu
 
Pande zote ukizisikiliza,utagundua hazijui zinatetea nini,hii ni hatari sana kwa ustawi wa taifa letu,taasisi hizi zinatakiwa ziwe na miongozo yake kuhusiana na maswala ya kitaifa hasa siasa na siyo kusoma hoja za mitandaoni na kuzifanya ajenda zao
Refer nyalaka za taasisi hizo
Unatenganishaje raia wa mtandaoni na wale wa mtaani.
 
Mleta mada naomba tafsiri ya ''habari za mtandaoni'' kama hutojali. Bila shaka hata wew pia umepata kuwasikia hao viongozi wa dini wakizungumza habari za mitandaoni kupitia mitandao ya kijamii.
 
Pande zote ukizisikiliza,utagundua hazijui zinatetea nini,hii ni hatari sana kwa ustawi wa taifa letu,taasisi hizi zinatakiwa ziwe na miongozo yake kuhusiana na maswala ya kitaifa hasa siasa na siyo kusoma hoja za mitandaoni na kuzifanya ajenda zao
Refer nyalaka za taasisi hizo
Kama Taasisi zinatakiwa kuwa na miongozo mbona Magu hafuati miongozo (katiba) ina maana miongozo ifuatwe na kanisa pekee? Je katiba inaelekeza anayekosoa baya auawe? Wewe mwenyewe chanzo chako cha habri ni kipi kama sio mitandao pambafu au ndiyo akili yako umeitia kwenye shimo la choo ili uone zuri la Magu?
 
Kiongozi wa Mungu, anatumwa na Mungu, anapewa ajenda ya kuongea na Mungu.
haendi kufanya utafiti mktandaoni, au kwa wanasiasa ili apate contents za ujumbe wake.

hicho ndicho kinachowatofautisha viongozi wa dini wa sasa na wale wa kwenye maandiko.
 
We are all connected via mitandao. Ndio maana hoja yako pia tumeiona. Kwahiyo suala sio mtandao ila ni hoja.
 
Pande zote ukizisikiliza,utagundua hazijui zinatetea nini,hii ni hatari sana kwa ustawi wa taifa letu,taasisi hizi zinatakiwa ziwe na miongozo yake kuhusiana na maswala ya kitaifa hasa siasa na siyo kusoma hoja za mitandaoni na kuzifanya ajenda zao
Refer nyalaka za taasisi hizo

Ww utakuwa ni limbukeni fulani. Huku mitandaoni japo sio jukwaa rasmi la taarifa, lakini ndipo sehemu unapoweza kuona mitazamo halisi ya watu, kwani humu kuna watu wote wa serekali, taasisi zote, wasomi wengi nk. Humu ukiwa kiongozi ukitaka kujua utendaji wako uko vipi ingia humu utapata maoni live bila kupitia kwa wapambe.

Leo hii kuanzia rais, mkuu wa majeshi IGP na wengine wenye mamlaka kila wakipata nafasi wanazungumzia maandamano ya 26 April. Na maandamano hayo hayajawahi kutangazwa rasmi na mtu au kiongozi yoyote kwenye gazeti, luninga ama radio, bali ni humuhumu mitandaoni. Sasa kama rais anajiita jiwe kisa jambo la mitandaoni ndio itakuwa maaskofu?
 
Huna akili manyo'anokho! Unaweza kuwazidi maaskofu kwa hoja wewe kenge?
 
Dini moja imemaliza ya kikistro
Bado dini ya pili uislam
Misho wasiokua na dini ili tulinganishe maoni yao
 
Wengi mnao comment hamjui hata misingi ya habari,siyo kila kinachoandikwa mtandaoni ni Habari,waulizeni akina Mayala watawaelewesha,sasa hizi taasisi zikitegemea mihemko ya mitandaoni,watazani nchini kuna vita,ila ukienda mtaani,utagundua mambo ni tofauti kabisa
 
Hakika safar hii nyaraka za mababa maaskofu hakuna ziliemwacha salama. Wakristo wanafki wote wanalia na kusaga meno wakiongozwa na mnafki mkuu pale karibu na bahari.
 
Back
Top Bottom