Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,273
- 6,637
Unapokuwa Mwanasiasa makini lazima uingie field ili uonje machungu ya kile unachoropoka mara kwa mara kuwa hakipo ili watu wajue kweli na wewe unapata machungu!
Mtu yupo Belgium anazungumza habari za wakulima wa Mtwara na Katavi kukopwa mazao yao,hii inaleta sense?
Unaposema mtakomaa ili utawala wa kidemokrasia upatikane wewe mwenyewe uliondoka kihuni na kula kona mpaka Brussels inaleta sense? Kwa nini usikae hapa Bongo na kutuonyesha hiyo demokrasia unayosema haipo?
Kuungwa mkono na Idu na kuona kama wataweza kuleta mabadiliko kwa demokrasia ya Tanzania huoni kuwa ni ndoto za mchana? Kwani hao Idu hawajulikani kwa watanzania kuwa ni vibaraka wa mabebeberu? Nani hapa Tanzania atakubali swaga zao za kisiasa?
My opinion, mwaka 2021 umeanza watanzania wanahitaji upinzani utaokuwa na positive results kwa maendeleo yao. Sio mtu yuko Ubelgiji anakula bata alafu analeta porojo za kisiasa.