Ukweli mtupu kuhusu wasichana wa kileo

RASCO BOY

JF-Expert Member
Jul 29, 2018
428
485
Wasichana wa siku hizi awajui Thamani ya Mume wala Thamani ya Ndoa.

Wasichana wa siku hiizi awana Cha kumpa mwanaume zaidi ya Kumpa papuchi tu
Hawana mawazo yoyote ya kimaisha wala kufikiri kwa kina yaani kuwaza na kumshauri mumewe mambo ya maendeleo.
Wanachojua wao ni kupaka MekUp na kupendezeshwa tu na ndio maana ata ukimtongoza jambo utaulizwa la kwanza unafanya kazi gani la pili utaweza kuniudimia kunitunza ayo ndiyo mawazo yao.
Wasichana wa sasa ni mtihani mkubwa sana kwa kqeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unajua ukikutana na mwanamke wa ovyo amini na we ni wa ovyo ukikutana na mwanamke chizi we ni wale wanaokula viporo dampo wazee wezangu hii tushaelewana
 
hao ni mapepo saivi si muda wakupigania mapenzi,now ni tym ya kifight for future hayo mengine yanakuja automatic
 
Mkuu hilo.group linahusu dada zako na binamu zako... So kama vp ungedeal na familia familia yako kabla hujawasema dada zetu wengne
 
Back
Top Bottom