RASCO BOY
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 428
- 485
Wasichana wa siku hizi awajui Thamani ya Mume wala Thamani ya Ndoa.
Wasichana wa siku hiizi awana Cha kumpa mwanaume zaidi ya Kumpa papuchi tu
Hawana mawazo yoyote ya kimaisha wala kufikiri kwa kina yaani kuwaza na kumshauri mumewe mambo ya maendeleo.
Wanachojua wao ni kupaka MekUp na kupendezeshwa tu na ndio maana ata ukimtongoza jambo utaulizwa la kwanza unafanya kazi gani la pili utaweza kuniudimia kunitunza ayo ndiyo mawazo yao.
Wasichana wa sasa ni mtihani mkubwa sana kwa kqeli.
Sent using Jamii Forums mobile app