Ukweli mchungu! Waliommiminia risasi 38 na 16 zikatua mwilini mwake wanateseka kuliko yeye aliyemiminiwa hizo risasi!

Unaambiwa kuna mtu ana tiketi mkononi , yuko tayari kukimbia muda wowote !

Wakati ukifika wa kutajana itakuwa kama kama kile kitabu chetu cha darasa la Kwanza miaka 1970-1980

Mtu wa kwanza kusema-Mbona unakanyaga watu kama majani !!!
Wa pili kusema -mbona wewe unasema !!!
Wa tatu heri mimi sijasema !!!
 
Walitaka kumuua walifanya kitendo kibaya sana kiubinadamu.

Kusema wanateseka ni kujifariji tu kwa sababu kama kazi zao ni kuua kwa nini wateseke. Wao watakuwa wametimiza malengo ya kazi zao.

Ni sawa na kusema wanaotengeneza siraha wanateseka kwa sababu zinatumika kuua! Hiyo ni biashara yao halafu watasekaje!

Tuache kujifariji kwa hisia ambazo hazina mantiki.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Nakubaliana na wewe lakini huoni sasa kwamba wanaweza kuwa wanateseka juu ya kwa nini hawakumuua?.
Kinachowatesa sio kwa sababu waliua bali kwa nini hawakuua.
 
Mbona ni rahisi sana kuamini ukitaka kuamini.
Tafuta siku na mtu wako unayemuamini mwende pale porini akufanyie majaribisho kwenye mguu tu, isiwe sehemu nyingine yoyote.
Bila shaka utakuja hapa na mrejeo wa majaribio hayo.
Mkuu nafikiri hujanielewa. Soma hoja nzima usipende kuchukua maneno mafupi ili uijengee hoja yako na kupotosha ukweli wa taarifa nzima. Acha ufilauni wa kinjinga namna hiyo. Haikusaidii. Inakupa stress tu wewe na mimi mchangia hoja. Jibu hoja na usinifanye mambo ya kihunu kama punda.

Mimi naudhika sana na mafalah kama wewe amnao kazi yao kupotosha ukweli wa mambo. Kama huwezi changia hoja kaa kimya au fanya mambo mengine ambayo unayeweza. Sio kung'ang'ani vitu ambavyo huviwezi. Usiwe na akili ndogo kama mtoto anaye anza kutambaa keo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nafikiri hujanielewa. Soma hoja nzima usipende kuchukua maneno mafupi ili uijengee hoja yako na kupotosha ukweli wa taarifa nzima. Acha ufilauni wa kinjinga namna hiyo. Haikusaidii. Inakupa stress tu wewe na mimi mchangia hoja
Kati ya mimi na huyu aliyechangia hapa unadhani ni nani ana 'stress,' vinginevyo hujui maana ya neno 'stress' kama ulivyolitumia hapa.
 
Kinachowatesa sio kwa sababu waliua bali kwa nini hawakuua.
Zinazowatesa ni nafsi zao. Wakilala Lissu yupo, wakiamka Lissu yupo, wakisimama Lissu yupo, wakikaa Lissu yupo, wakitembea Lissu yupo yaani kwao kila mahali Lissu yupo. Hakukaliki, hakulaliki wala hakuliki...Lissu kawaandama. Hawa watu wanateseka si mchezo. Hata humu ndani ya JF wapo wanaoteseka kweli kweli.
 
Walitaka kumuua walifanya kitendo kibaya sana kiubinadamu.

Kusema wanateseka ni kujifariji tu kwa sababu kama kazi zao ni kuua kwa nini wateseke. Wao watakuwa wametimiza malengo ya kazi zao.

Ni sawa na kusema wanaotengeneza siraha wanateseka kwa sababu zinatumika kuua! Hiyo ni biashara yao halafu watasekaje!

Tuache kujifariji kwa hisia ambazo hazina mantiki.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Nawe acha hizo! Kwani huoni kuweweseka kunavyo endelea?
Usijiingize kwenye dhambi Kwa kuwasemea wauwaji kisa kukiokoa chama chako wakati chama kama chama hakina Sera hiyo ya kupigana risasi na hakijatuma mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
U.esema kwanini waliomumiminia risasi wanateseka? Swali una uhakika gani? Je unawajua? Je unawaona? Unayemuuliza ajibu anawajua na anaona wanavyioteseka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lissu ni mpango wa Mungu!
Naunga mkono hoja, tena mpango wenyewe ni kama ule wa Masiya " ni kwa kupigwa kwake, sisi tuliponywa".
Thanks
Japo najua karma itawashughulikia watesi wake, swali linabaki, jee kwa kupigwa kwake sisi tutaponywa?.

Time Will Tell.
P.
 
U.esema kwanini waliomumiminia risasi wanateseka? Swali una uhakika gani? Je unawajua? Je unawaona? Unayemuuliza ajibu anawajua na anaona wanavyioteseka?
Haya maswali yako ndio dalili hizo za kuteseka. Sikuoni lakini natanguliza pole kwa kuteseka kwako na utateseka sana.
 
Kati ya mimi na huyu aliyechangia hapa unadhani ni nani ana 'stress,' vinginevyo hujui maana ya neno 'stress' kama ulivyolitumia hapa.
Ndiyo maana nikasema "Acha ufilauni wa kinjinga namna hiyo. Haikusaidii. Inakupa stress tu wewe na mimi mchangia hoja. Jibu hoja na usifanye mambo ya kihunu kama punda."

Sasa tumesha ipata hiyo Stress kwa sabu ulikuwa unaitafuta. Ungwjibu hoja kulingana ja hoja ilivyo kuwa ningekuwa tuna zungumzia Mambo mengine.

Yaani unataka kuniambia hata hiyo sentensi nayo hujaielewa? Wewe basi utakuwa kweli mpumnavu.

Ngoja nikudharau tu, kwa sababu sina muda wa kupoteza na watu aina yako.
 
Ngoja nikudharau tu, kwa sababu sina muda wa kupoteza na watu aina yako.
Kwa lipi ambalo unaweza kunizarau mimi? Wewe mnuka jasho la Bongo asiye yajua maisha anathubutu kunizarau mimi usiye nijua? Acha kuleta kashfa wewe! Unafikiri itakusaidia?

Mimi siwezi kukuzarau wewe kwani sikujui na sijakuona. Nitazarau hoja zako kulingana endapo zitakuwa sio za msingi. Kwa hali hiyo siwezi mzarau mtu nisiyemjua kwani sijalelewa katika msingi hiyo. Changia hoja baada ya kusoma vizuri na kuielewa vizuri as a whole.

Kalamu1 kasema anakudharau...unajuaje hakujui wala hajakuona? Naona unazidi tu kuteseka, pole sana.
 
Zinazowatesa ni nafsi zao. Wakilala Lissu yupo, wakiamka Lissu yupo, wakisimama Lissu yupo, wakikaa Lissu yupo, wakitembea Lissu yupo yaani kwao kila mahali Lissu yupo. Hakukaliki, hakulaliki wala hakuliki...Lissu kawaandama. Hawa watu wanateseka si mchezo. Hata humu ndani ya JF wapo wanaoteseka kweli kweli.
Miongoni ya wanaoteseka sana ni mgambilwanimtu na jmc06.......
 
Naam, walimmiminia risasi thelathini na nane (38) na kumi na sita (16) kati ya hizo zikatua mwilini mwake.

Naam, zilikuwa ni risasi za kumwangusha tembo na waliondoka hapo wakijua kazi waliyotumwa imemalizika.

Waliondoka hapo kwa haraka ya kufikisha habari njema hii kwa waliokuwa wakiwasubiri kwa hamu kubwa.

Walijua ujira na pongezi kubwa zilikuwa zikiwasubiri kwa kutekeleza kwa ufanisi mkubwa jukumu walilopewa.

Hapana shaka wakiwa njiani walijipongeza wakiwa na uhakika wa mapokezi makubwa yanayowasubiri.

Je kwa nini pamoja na yote hayo, waliomimina risasi wanaonekana kuteseka kuliko aliyemiminiwa risasi? Toa maoni...
Kwanza c ajabu hatunao tena misheni kubwa Kama ile ukipuyanga lazima wale kichwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom