Ukweli mchungu: Wahafidhina wa CHADEMA mjiandae kisaikolojia

Hatari ! Ndio maana anawaburuta kama anavyotaka?

Anamburuta nani? Ww ndio umeleta habari zake humu, sisi tunajimudu kisiasa bila msaada wowote. Sisi hatushoboki naye, labda ww ndio maana unaleta habari zake humu.
 
ACT siyo CHADEMA, japo vyote ni vyama vya upinzani. Maamuzi ya CHADEMA yalikwishafanyika.
 
Anamburuta nani? Ww ndio umeleta habari zake humu, sisi tunajimudu kisiasa bila msaada wowote. Sisi hatushoboki naye, labda ww ndio maana unaleta habari zake humu.
Acha kujifaraghaua, akina mama 19 wataruhusiwa na Cc kutinga mjengoni, utabaki kuwa kindakindaki? Maana ulideki mabarabara Edo akakuacha solemba.Safari hii itakuwaje?
 
Mkuu Idugunde , hakuna mkate mgumu mbele ya chai!. Uamuzi wa ACT kujiunga GNU is the best decision, Chadema waache ujinga!,
Huu sasa ndio uamuzi wa busara, sio kususa tuu bila mpango.
Asiyekubali kushindwa sio mshindani, if you can't get what you want, just take what you get!, and if you can't beat them, join them!.
Hatimaye ACT Wazalendo sasa wamekubali matokeo, sio tuu watapokea kidogo walichopata, bali pia wata wa join them kwenye kuunda SUK.
Hongera sana ACT, hizi ndio siasa za kweli.
P
Siasa za Tz ni Shida ,wanasiasa wengi wa upinzani watafika bei mpaka kufikia 2024.
 
Acha kujifaraghaua, akina mama 19 wataruhusiwa na Cc kutinga mjengoni, utabaki kuwa kindakindaki? Maana ulideki mabarabara Edo akakuacha solemba.Safari hii itakuwaje?

Pitia kwenye nyuzi zangu zote kama kuna mahali niliwahi kumuunga mkono huyo muhuni Edo kwa lolote. Hao cc wanaweza kuwapitisha hao wamama hiyo ni juu yao, lakini wasitegemee tena kura zetu.
 
Jiandae kisaikolojia brother.
 
Hussein Mwinyi ni Mwanasiasa kweli kweli

Naona dalili njema za kumrithi Mzalendo namba moja 2025
 
Ukweli ni kwamba ACT na Chadema wote wanajua fika wameshindwa kihalali bila ya shaka lolote kilichobaki kukubaliana tu tufanye kazi. Mamboa ya propaganda na fitina za siasa tuwaachie Tundu Lisu na Amsterdam wake
 
Mkuu Idugunde , hakuna mkate mgumu mbele ya chai!. Uamuzi wa ACT kujiunga GNU is the best decision, Chadema waache ujinga!,
Huu sasa ndio uamuzi wa busara, sio kususa tuu bila mpango.
Asiyekubali kushindwa sio mshindani, if you can't get what you want, just take what you get!, and if you can't beat them, join them!.
Hatimaye ACT Wazalendo sasa wamekubali matokeo, sio tuu watapokea kidogo walichopata, bali pia wata wa join them kwenye kuunda SUK.
Hongera sana ACT, hizi ndio siasa za kweli.
P
Uteuzi uteuzi pole ila subila yata hero mmebaki Wewe na bashite vumilia tu Mungu wa ote bana
 
Mkuu Idugunde , hakuna mkate mgumu mbele ya chai!. Uamuzi wa ACT kujiunga GNU is the best decision, Chadema waache ujinga!,
Huu sasa ndio uamuzi wa busara, sio kususa tuu bila mpango.
Asiyekubali kushindwa sio mshindani, if you can't get what you want, just take what you get!, and if you can't beat them, join them!.
Hatimaye ACT Wazalendo sasa wamekubali matokeo, sio tuu watapokea kidogo walichopata, bali pia wata wa join them kwenye kuunda SUK.
Hongera sana ACT, hizi ndio siasa za kweli.
P

Haa haaa, wewe Mayalla unawaambia nini wenzako eti...?

Kwamba, ".....if you can't get what you what, just take what you get....?" , right..?

Na kwamba, ".....if you can't beat them, then you have to join them....", right?

Kwa kweli kuna misemo mingine imekaa kichochezi sana. Mojawapo ni hii miwili....!!
 
Mkuu Idugunde , hakuna mkate mgumu mbele ya chai!. Uamuzi wa ACT kujiunga GNU is the best decision, Chadema waache ujinga!,
Huu sasa ndio uamuzi wa busara, sio kususa tuu bila mpango.
Asiyekubali kushindwa sio mshindani, if you can't get what you want, just take what you get!, and if you can't beat them, join them!.
Hatimaye ACT Wazalendo sasa wamekubali matokeo, sio tuu watapokea kidogo walichopata, bali pia wata wa join them kwenye kuunda SUK.
Hongera sana ACT, hizi ndio siasa za kweli.
P
Hapo ndipo inapokosea Pascal. Una ushahidi gani usio na shaka kiwa chama chako kilishinda au chadema kilishindwa uchaguzi mkuu uliopita ? Moja kati mambo mabaya kabisa ni mtu kumsaidia mtesi wake kumtesa kwa kushirikiana naye. Just imagine mbakaji amemchania mtu nguo tayari kumbaka na wewe unamshauri mwathirikaatoe ushirikiano yaishe. Nawashauri chadema kutoshirikiana na waliojitangazia ushindi kabisa. Kushiriana nao ni usaliti kwa waliksema wameuawa, wameumizwa na walioshitakiwa, tena kwa uongo, kwasababu za kisiasa. Bora kufa mkweli kuliko kuishi mnafiki.
 
Kwa siasa hivi kuna haja ya vijana wetu kukaa na kutathimini ni chama gani na mwanasiasa yupi wa kuamini. Haiwezakani rafikiyo kapigwa risasi ama ukapata ukilema baadaye eti tunashirikiana.
Kisiasa ni kwamba hao waliokufa na kuumizwa lengo lilikuwa ni ili viongozi wao wapate madaraka, wamewapigania kwa jasho na damu ili washike madaraka na ndiyo hao wameyapata sasa munalalamika nini? Jifunzeni siasa siyo mkiambiwa tu muingie barabarani mnakubali!
 
Mwenzako akinyolewa we tia maji, ndio wahenga walisema.

Leo tumeshuhudia jambo moja la ajabu sana kwenye historia ya Tanzania, Zitto Kabwe na chama chake pamoja na kutuaminisha kuwa watu walimwaga damu kwa ajili ya Act wazalendo amelainika na kukubali kujiunga kwenye SUK.

Dalili zinaonyesha kuwa hata Chadema watawasamehe na kuwaruhusu wanamama waliofanya uhuni na kusepa hadi Dodoma kisha kula kiapo ili watinge mjengoni

Baada ya wanamama hawa kuruhusiwa kutinga mjengoni,je wahafidhina waliopiga deki mabarabara ili Lowassa apite baadae akawataosa,sasa bado ni wanaCdm kindakindaki watajisikia vipi? Watabaki Cdm? Au ndio kila mtu atakula kona?

Fikiria wale watu ambao Zitto alikuwa akitoa orodha ya majina kuwa wamepigwa risasi na kufariki huko Zanzibar,leo ndugu zao wanamawazo gani juu ya wanasiasa wa BongoTz?
Hakuna mabadiliko chanya kwenye vyama vya upinzani, kisiasa, kuweza kuaminiwa na wapiga kura, hadi hapo viongozi wa upinzani:
√ watakapoacha siasa za "media" kwa maana ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, ambayo huitegemea kuwapa taarifa kumbe ni udaku mtupu;
√ watakapojali maslahi ya chama na siyo ya ubinafsi. Maalim Seifu amelazimisha ili apate chochote kwa miaka 5 na si kwa nia ya kukijenga ACT;
√ watapoachana na kauli za kupingapinga badala ya kushirikiana na Setikali kwa ajili ya Taifa;
√ watakapoheshimu Mamlaka kama ambavyo na wao watapenda iwe hivyo wakingia madarakani.

Sikio la kufa halisikii dawa
 
Back
Top Bottom