Ukweli mchungu: Vyuo vya dini kama Tumaini, TEKU, SAUT, N.K ni viwango duni

SAUT ilikuwa bora sana Wakati inaitwa Nyegezi Social Training Institute. Enzi za kina Makongoro Mahanga. Wahasibu wengi sana wazuri wametoka pale na CPA zao. Uliza Bujaga Izengo Kadag'o yule mtangazaji wa RTD
Mkuu ngoja nikuelimishe kidogo,

Cpa haitolewi na chuo bali hutolewa na bodi ya wakaguzi na wahasibu,
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom