Ukweli mchungu: Viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani ni wafuasi wa CCM na viongozi wake

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ndugu zangu,

Nimeona niliweke hili suala kwa uwazi. Nyakati fulani fulani zinadhihirisha jinsi ambavyo wanachama na viongozi wa vyama vya upinzani ni wafuasi na matawi ya CCM.

Nyakati hizi ni wafuasi wa Rais mpya Mh. Samia, kipindi JPM anaingia madarakani walidiriki kusema anatekeleza sera zao.

Sasa hivi wapo bize kutoa ushauri kwa Rais Samia eti "atelekeze yote na wote wa utawala uliomtangulia", ikumbukwe walimshauri JPM akawapuuza. Huwezi kuwatofautisha na asasi za kiraia.

Ni kama wanataka waonekane kuwa "wamempigania Samia kuwa Rais" eti bila wao "asingekuwa Rais" ndio maana kila kukicha wanakuja na hekaya "oooh mara CDF kafanya hivi, vile nk"

Nimalize kwa kusema "upinzani huu ni kwa CCM ni sawa na mbwa aliona chatu, analia huku anajipeleka kumezwa"
 
Praise team mmepoteana,hamjui nn cha kufanya.kikubwa tulieni tu MAMA etu awanyooshe.Yule wakwenu aliekua anakula ovyo ovyo maindi ya kuchoma barabarani is no more.

MADAM PRESIDENT endelea kunyoosha nchi,we love you and God bless you
 
Nimesoma kuwa Takukuru wameingia nyumbani kwa Kakoko leo ghafla na kumkuta na begi lenye $1,625,800 cash baada ya kusimamishwa kazi jana!

Haijulikani hizo alizichota lini, lakini kama ni kweli inawezekana alikuwa akizichota pole pole kwa muda mrefu kidogo na huenda sasa hivi ana "vijisenti" vingi sana hujo Jersey au Switzerland kama yule mzee.
 
Mzee wa msoga anawaita waganga njaa!
Nimesoma kuwa Takukuru wameingia nyumbani kwa Kakoko leo ghafla na kumkuta na begi lenye $1,625,800 cash baada ya kusimamishwa kazi jana!

Haijulikani hizo alizichota lini, lakini kama ni kweli inawezekana alikuwa akizichota pole pole kwa muda mrefu kidogo na huenda sasa hivi ana "vijisenti" vingi sana hujo Jersey au Switzerland kama yule mzee.
 
Pole kwa msiba mkuu, wote tumefiwa ila maumivu uliyoyapata wewe hayaelezeki maana ulipanga mitano zaidi Mola akampenda zaidi,
 
Nimesoma kuwa Takukuru wameingia nyumbani kwa Kakoko leo ghafla na kumkuta na begi lenye $1,625,800 cash baada ya kusimamishwa kazi jana!

Haijulikani hizo alizichota lini, lakini kama ni kweli inawezekana alikuwa akizichota pole pole kwa muda mrefu kidogo na huenda sasa hivi ana "vijisenti" vingi sana hujo Jersey au Switzerland kama yule mzee.
Sawa bado nipo kwenye maombolezo!
 
Watetezi utawala wa sheria
Uhai kwanza ili mapambano yaendelee ndiyo maana watu walikimbia nje za nchi
Kulinda uhai na Sasa wanawanyenga ili kuondoa kwanza udikteta alafu tukija hapo kuwaweka sana sasa kupitia sheria siyo kwamba mna mazuri sana
 
Back
Top Bottom