CK Allan
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 2,729
- 5,923
Ndio hivyo! Mechi za Simba na Yanga wakicheza na vilabu vingine ni wao wenyewe wanapanga viingilio..
Lakini ikifika Derby ni TFF ndio wanapanga viingilio,
Angalia mapato ambayo Simba na Yanga wanaingiza kupitia Mkapa Stadium!
Leo hii uwaruhusu Yanga na Simba wamiliki viwanja vyao halafu???
Ule uwanja uwe wa fiesta au?
Ndio maana utaona Wataruhusiwa kuwa na viwanja vya mazoezi tu!!
Lakini kwa mechi mtasahau!