kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,784
- 20,155
Salaam wana jukwaa,
Natumai ninyi ni wazima wa afya kumekua na maneno ya hapa na pale kuhusu pwani ya Kenya kuanzia Mombasa Lamu mpaka karibia na Somalia
Ukweli ni kwamba eneo la pwani ya Kenya lote ni sehemu ya Tanzania.
Ushahidi ni kuwa pwani ya Kenya yote ilikua milki ya Zanzbar na kuna mkataba kati ya Sultani wa Zanzibar na Kenya kwamba eneo hili ni milki yetu na hivyo basi hayo maeneo yatabaki Kenya lakini pawe na mamlaka yake kamili baada ya kuungana Tanganyika na Zanzibar na kuzaliwa Tanzania basi ni ukweli kwamba eneo la pwani ya Kenya yote ni milki ya Tanzania. Kenya haina uhalali wa kumiliki eneo hilo serikali iamke idai ardhi yetu
Kenya please bring back our land kwanza hata wenyeji hawana mafungamano au mfanano wowote na wakenya ukweli ndo huo.