Ukweli Mchungu Ni Kuwa Zipo Sababu za Kihistoria Kwa Changamoto Kubwa Zinazoikabili Nchi ya Syria!

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,199
4,670
Wengi mnadhani matatizo ya Syria yanatokana na sababu za Maslahi ya Kiuchumi na Kisiasa

Ni Kweli kabisa hizo ndizo sababu za msingi kwa mujibu wa uchambuzi wa Wasomi wetu!

Hata hivyo tambueni Kuwa zipo sababu nyingine za msingi zisizotajwa sana lakini ni za msingi na zinazopelekea Ndugu zetu hao kuishi Kwenye shida!

Wahenga wa Kiroho walishatabiri miaka mingi sana

Edomu alilaaniwa!

•Je! Esau siye ndugu yake Yakobo? Asema Bwana; ila nimempenda Yakobo;
bali Esau nimemchukia na kuifanya milima yake kuwa ukiwa, na urithi wake nimewapa mbweha wa nyikani.

•Ijapokuwa Edomu asema, tumepondwa-pondwa, lakini tutarudi na kupajenga mahali palipoachwa hali ya ukiwa; Bwana wa majeshi asema hivi, Wao watajenga, bali mimi nitaangusha•




Karibuni tujadili
 
Mshua anakwama sana hajui kuongea huyo angebakigi tuu kuwa waziri maana hana busara kabisa na hana break na maneno yake mara maendeleo hayana chama, sisi wote ni watanzania mara ukichagua upinzani mtajuta sasa. Tumuelewe vp, mbona anafeli sana
 
Huyo aliyezungushiwa duara ndiye changamoto kuu huko syria.
Screenshot_2020-09-28-13-03-17-1.jpg
 
Back
Top Bottom