Ukweli mchungu: Mama yangu mzazi alijiuza kwa baba yangu mzazi

Nampenda na kumuheshimu mama yangu sana, na yeye ananipenda, na anani-treat vizuri, ila saa nyingine ukweli lazma usemwe

Mama yangu ametokea kwenye familia ya kimaskini mno, akaja Dar kipindi icho ana miaka 20 hivi, alikutana na baba yangu akiwa mzee wa miaka 53. Kwa kifupi baba yangu ana sura mbaya na ana sura ya uzee, ila alikuwa na vihela hela, alimuoa mama yangu ndo mimi nikazaliwa.

Ndugu zangu waliniambia, Mama yangu alikuwa akiulizwa kwanini umeolewa na mzee, alikua akisema hapendwi mtu inapendwa pochi, na hio ni miaka ya 1990's

Sasa nimejiuliza, mama yangu hakuvutiwa kimapenzi na baba yangu na hakumpenda baba yangu, aliolewa na baba yangu kwasababu ya pesa, ina maana si alijiuza? Mama yangu ana tofauti gani na wale wadada wanaouza papuchi barabarani?..

Nimegundua yanayotokea kwenye mahusiano yetu huku mitaani, hata kwenye familia zetu yapo.
Sasa hii hasira inatokana na nini hadi kuja kumsema mama huku, au kwakua na wewe umerithi sura ya baba ako alaf hata hauna pesa😎
 
Mshukuru mamako kawezesha wewe kuwa duniani maana asingefanya aliyofanya kusingekua mtu anajiita AlphaMale wals usingekua unaandika chochote hapo
 
Nampenda na kumuheshimu mama yangu sana, na yeye ananipenda, na anani-treat vizuri, ila saa nyingine ukweli lazma usemwe

Mama yangu ametokea kwenye familia ya kimaskini mno, akaja Dar kipindi icho ana miaka 20 hivi, alikutana na baba yangu akiwa mzee wa miaka 53. Kwa kifupi baba yangu ana sura mbaya na ana sura ya uzee, ila alikuwa na vihela hela, alimuoa mama yangu ndo mimi nikazaliwa.

Ndugu zangu waliniambia, Mama yangu alikuwa akiulizwa kwanini umeolewa na mzee, alikua akisema hapendwi mtu inapendwa pochi, na hio ni miaka ya 1990's

Sasa nimejiuliza, mama yangu hakuvutiwa kimapenzi na baba yangu na hakumpenda baba yangu, aliolewa na baba yangu kwasababu ya pesa, ina maana si alijiuza? Mama yangu ana tofauti gani na wale wadada wanaouza papuchi barabarani?..

Nimegundua yanayotokea kwenye mahusiano yetu huku mitaani, hata kwenye familia zetu yapo.
Unapata faida gani unapomdhalilisha hivyo mama yako? Ukweli unabidi kusemwa pale tu penye sababu ya kufanya hivyo. Kwani ukikaa kimya tu kuhusu hili utakuwa umesema uongo? Au unafaidika vipi sisi tukifahamu kuwa mama yako alikuwa (au yuko) hivyo? Kama ni kweli unayoyasema, unamdhalilisha bure mzazi wako na unapata laana.
 
Mlioniponda kwenye huu uzi, wote ninyi ni wanafiki, kimoyo moyo ukweli halisi mnaujua, ila mnaniponda hapa jamvini ili muonekane wema.

Nampenda na kumuheshimu mama yangu, ila haibadilishi ukweli kuwa alijiuza Kwa baba yangu, kiasilia binti hawezi kuvutiwa kimapenzi/kingono na mwanaume mzee, sasa alifata nn kwa baba yangu kama si pesa financial services Zoë Don Clericuzio
Ha ha ha umerudi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni hatari zaidi ya korona aujui kuwa wewe ni tunda la mbegu walioipanda wazazi wako , we ni nani kuanza kuchimba mahusiano ya wazazi wako kwa kiasi hicho? Heshima unayoisemea kuwa unamuheshim mama yako ni ipi sasa wakati unawaza upuuzi mtupu unamvua mama yako nguo hadharani
 
We jamaa n mpumbavu hata kama mamaako alijiuza, shukuru mungu amekulea pamoja na kujiuza kwake kwa babaako,

Waheshimu sana wazazi wako boya wewe! Umemkosea sana mama yako, nenda kamuombe msamaha, muonyeshe upumbavu wako uliouandika huku ili akusamehe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa utakuwa unajiona shababi ila moyoni huu ujinga utakusumbua maisha yako yote.Chunga sana domo hilo.
 
Nampenda na kumuheshimu mama yangu sana, na yeye ananipenda, na anani-treat vizuri, ila saa nyingine ukweli lazma usemwe

Mama yangu ametokea kwenye familia ya kimaskini mno, akaja Dar kipindi icho ana miaka 20 hivi, alikutana na baba yangu akiwa mzee wa miaka 53. Kwa kifupi baba yangu ana sura mbaya na ana sura ya uzee, ila alikuwa na vihela hela, alimuoa mama yangu ndo mimi nikazaliwa.

Ndugu zangu waliniambia, Mama yangu alikuwa akiulizwa kwanini umeolewa na mzee, alikua akisema hapendwi mtu inapendwa pochi, na hio ni miaka ya 1990's

Sasa nimejiuliza, mama yangu hakuvutiwa kimapenzi na baba yangu na hakumpenda baba yangu, aliolewa na baba yangu kwasababu ya pesa, ina maana si alijiuza? Mama yangu ana tofauti gani na wale wadada wanaouza papuchi barabarani?..

Nimegundua yanayotokea kwenye mahusiano yetu huku mitaani, hata kwenye familia zetu yapo.
Hakuna mama fala anayetaka mwanaye azaliwe kwenye dhiki.umaskini unatisha, wewe ungezaliwa huko kwenu mbwinde usingeijua smartphone wala jamiiforums. Piga salute nyingi kwa mama yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nampenda na kumuheshimu mama yangu sana, na yeye ananipenda, na anani-treat vizuri, ila saa nyingine ukweli lazma usemwe

Mama yangu ametokea kwenye familia ya kimaskini mno, akaja Dar kipindi icho ana miaka 20 hivi, alikutana na baba yangu akiwa mzee wa miaka 53. Kwa kifupi baba yangu ana sura mbaya na ana sura ya uzee, ila alikuwa na vihela hela, alimuoa mama yangu ndo mimi nikazaliwa.

Ndugu zangu waliniambia, Mama yangu alikuwa akiulizwa kwanini umeolewa na mzee, alikua akisema hapendwi mtu inapendwa pochi, na hio ni miaka ya 1990's

Sasa nimejiuliza, mama yangu hakuvutiwa kimapenzi na baba yangu na hakumpenda baba yangu, aliolewa na baba yangu kwasababu ya pesa, ina maana si alijiuza? Mama yangu ana tofauti gani na wale wadada wanaouza papuchi barabarani?..

Nimegundua yanayotokea kwenye mahusiano yetu huku mitaani, hata kwenye familia zetu yapo.
Mama yako si sawa na wanaojiuza barabarani, si aliolewa na akajituliza kwa mumewe? Hata kama angekuwa anajiuza barabarani, ndio mama yako, utafanya nini? Hao waliokuambia mambo ya nyuma sijui wana nia gani, usipoangalia nia yao itafanikiwa, kama hivi kuanza kumhukumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nampenda na kumuheshimu mama yangu sana, na yeye ananipenda, na anani-treat vizuri, ila saa nyingine ukweli lazma usemwe

Mama yangu ametokea kwenye familia ya kimaskini mno, akaja Dar kipindi icho ana miaka 20 hivi, alikutana na baba yangu akiwa mzee wa miaka 53. Kwa kifupi baba yangu ana sura mbaya na ana sura ya uzee, ila alikuwa na vihela hela, alimuoa mama yangu ndo mimi nikazaliwa.

Ndugu zangu waliniambia, Mama yangu alikuwa akiulizwa kwanini umeolewa na mzee, alikua akisema hapendwi mtu inapendwa pochi, na hio ni miaka ya 1990's

Sasa nimejiuliza, mama yangu hakuvutiwa kimapenzi na baba yangu na hakumpenda baba yangu, aliolewa na baba yangu kwasababu ya pesa, ina maana si alijiuza? Mama yangu ana tofauti gani na wale wadada wanaouza papuchi barabarani?..

Nimegundua yanayotokea kwenye mahusiano yetu huku mitaani, hata kwenye familia zetu yapo.
Acha kumdhalilisha mama yako, umemkosea sana adabu na heshima, bila hyo unaesema alijiuza kwake wewe usingekupo. Tujifunze kufikiria vya kuandika humu kama huna sio lazima uandike hmu unaweza ukabaki kuwa mpenz mtazamaji kuliko kuja kumdhiaki mama yko humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom