DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,651
- 2,627
Wanaukumbi.
Kama ni mpira,mgombea Urais wa CHADEMA Edward Lowassa haitaji mazoezi ili aingie uwanjani..hata asipofanya kampeni atapata kura nyingi sana maeneo tofauti.
Kibaya zaidi tumeelezwa kuwa wagombea wa CCM katika ngazi za udiwani na ubunge wamekuwa wakimwombea kura chini kwa chini ili nao wakiepuke kikombe "CCM" ambacho hata mgombea wao wa urais Magufuli anaogopa kusema 'chagua CCM'.
Elimu bure mpaka chuo kikuu na sera ya upimaji bure ardhi imempaisha Lowassa huku wengi wakisema hata kama yupo kitandani watampa kura.
Mfano Emanuel Nchimbi jana alitumia maneno ya kistaarabu kumnadi mgombea wake,huku akijua kuwa anafanya usanii.
Ndani ya CCM kwa wanachama na wakubwa EL atazoa kura nyingi huku nyingine zikiwa za huruma kutokana na uvumilivu wake dhidi ya propaganda chafu.
Kwamba DR Slaa hata aiache chadema hakutakuwa na madhara yoyote kwa UKAWA zaidi ya propaganda za siku mbili.
UKWELI MCHUNGU LOWASSA RAIS AWAMU YA TANO.