Ukweli mchungu: Kwanini ndoa za mitala zinadumu kuliko ndoa za mwanamke mmoja?

Kwasababu wanajua ukileta vurugu talaka inakuhusu

Tofauti na ndoa za kikristo mtu anavimba akijua ni mpaka kifo kiwatenganishe
Hapana kudumu kwa ndoa utegemea na Mira na tamadumu za jamii usika mfano jamii ya watu wa Zanzibar ndoa zao ni za Dini ya kiislam'' lakin ndiyo wanaongoza kwa kuachana utakuta kijana mwenye umri wa miaka 30 kasha achana na wake zake watatu, na bint mwenye miaka 26 kashaolewa na kuachika Zaid ya Mara mbili, yani katika sehem ambayo ndoa hazidum Tanzania Zanzibar itakuwa inaongoza wanawake wa kizanzibar husipo wanunulia nguo kipind cha sikukuu tu ataomba talaka, halaf usiku hawapik chakula wao ni kwenda kukunua chips, Kaz za ndani anafanya mwanaume upende usipende.
 
ukienda Zenji, kijana wa miaka 26 ameoa/ameolewa na kuacha/kuachika mara 10 si kidogo

nna mjomba wangu kule, kila nikienda likizo ana wake wapya :D

so hii hoja yako dizaini kama haina mashiko vile
 
Hapana kudumu kwa ndoa utegemea na Mira na tamadumu za jamii usika mfano jamii ya watu wa Zanzibar ndoa zao ni za Dini ya kiislam'' lakin ndiyo wanaongoza kwa kuachana utakuta kijana mwenye umri wa miaka 30 kasha achana na wake zake watatu, na bint mwenye miaka 26 kashaolewa na kuachika Zaid ya Mara mbili, yani katika sehem ambayo ndoa hazidum Tanzania Zanzibar itakuwa inaongoza wanawake wa kizanzibar husipo wanunulia nguo kipind cha sikukuu tu ataomba talaka, halaf usiku hawapik chakula wao ni kwenda kukunua chips, Kaz za ndani anafanya mwanaume upende usipende.
Na mikoa ya watu wanaooa wake wengi ndo zinaongoza kwa talaka, na ndoa za mitala nyingi huwa familia haipatani
 
Ukiwa na mitala nguvu Mara3 Kila mzunguko nyapu unaona Mpya na imewamba maneno Kutoka kwa mzee mwenye WA nne. Dini ya bwana mudi alicheza Kama pele
Dah!
Hata Mi huwa najiuliza sana! hivi mwanaume anawezaje kila round awaridhishe wote wanne? au wengine huwa wanachezewa faulo bila kujijua!! Una Kuta Kuna jamaa Lina mmendeaga bi mkubwa, linaambiwa tu subiri akienda zamu kwa bi mdogo uje au ntakuja
 
Ndoa za mitala zinadumu maeneo na maeneo nimeona handeni mzee ana wake watatu na wanaheshimiana yani wanaitana dada dada na anauwezo wa kuwaridhisha wote lakini ukifuatilia kwa ndani kuna sayansi imetumika

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hapana kudumu kwa ndoa utegemea na Mira na tamadumu za jamii usika mfano jamii ya watu wa Zanzibar ndoa zao ni za Dini ya kiislam'' lakin ndiyo wanaongoza kwa kuachana utakuta kijana mwenye umri wa miaka 30 kasha achana na wake zake watatu, na bint mwenye miaka 26 kashaolewa na kuachika Zaid ya Mara mbili, yani katika sehem ambayo ndoa hazidum Tanzania Zanzibar itakuwa inaongoza wanawake wa kizanzibar husipo wanunulia nguo kipind cha sikukuu tu ataomba talaka, halaf usiku hawapik chakula wao ni kwenda kukunua chips, Kaz za ndani anafanya mwanaume upende usipende.
duh
 
Back
Top Bottom