Ukweli mchungu kwa UKAWA na upinzani, Lowassa hawezi kutuvusha

..i understand that to some TL is just a human rights activist and nothing else.

..but in my opinion he has the intellectual depth to be competitive presidential candidate.

..i have seen TL in discussions that dealt with matters other than laws and constitution and was impressed by how well he presented / defended his ideas.
Temperament-wise Tundu Lissu and Magu are no different in my opinion.

They are just not good leaders.

One is good at being a manager and the other at being a rabble-rouser.

Neither one of them is leadership material.

But in a country where there is a serious leadership vacuum I could see why some would think that Lissu is leadership material or any other person for that matter just to fill up that glaring void.

Nevertheless, whoever the opposition coalition [that if there is one] will select to be their bearer will eventually lose anyway.

We are stuck with CCM and their walking and talking pieces of mediocrity and ineptitude of candidates for the foreseeable future.

Too bad and too sad.
 
Chaka limechomwa moto wote wanakimbilia cdm. Chukulia mfano mliyemwita fisadi papa kwa sasa yuko wapi?
Aliyeharibiwa kizazi na urefu wa mitulinga mbalimbali kwa sasa yuko wapi?
Hebu tuwekee wazi hapa kati ya jambazi, fisadi,wauza ngada, wanaofoji vyeti na majangiri, je dawa yao ni kuwafukuza kwenye chama au kuwapeleka mahakamni kuwafunga?sitaki kuskia blah blah!!
 
Ukawa gani unaouongelea wewe? Ule wa 2015? Kwa maana nijuavyo mimi leo hii hakuna ukawa, hata chaguzi za Serikali za Mitaa kila Chama kilisimamisha Mgombea wake, isitoshe hakuna Chama cha kuiondoa CCM madarakani kwa miaka 20 ijayo, kubali au kataa lkn huo ndiyo ukweli, labda uwashauri wajitahidi kuongeza Viti Bungeni pmj na kuongoza Halmashauri zaidi lkn kushinda Uraisi, sahau!!
Luna Sikh mtaachia tu
 
Ukawa gani unaouongelea wewe? Ule wa 2015? Kwa maana nijuavyo mimi leo hii hakuna ukawa, hata chaguzi za Serikali za Mitaa kila Chama kilisimamisha Mgombea wake, isitoshe hakuna Chama cha kuiondoa CCM madarakani kwa miaka 20 ijayo, kubali au kataa lkn huo ndiyo ukweli, labda uwashauri wajitahidi kuongeza Viti Bungeni pmj na kuongoza Halmashauri zaidi lkn kushinda Uraisi, sahau!!
Viti vya ubunge walivyonavyo vitapungua uchaguzi ujao!
Kumbuka maneno yangu
 
Kimkakati TL hauziki, usishangae hata Arusha Magu kumdondosha TL, nikukumbushe tu TL amechukua ubunge kwa kura chini 60%, hata hiyo Singida na mikoa ya kanda ya kati hawezi kushinda. Siasa ni mikakati.

..unaweza kuwa sahihi.

..lakini kwa mtizamo wangu cdm wanahitaji ilani nzuri, kampeni ya kisasa, na mgombea mahiri mwenye uwezo wa kujenga hoja.

..uchaguzi uliopita cdm walizidiwa vyote hivyo na ccm.
 
Vyeti pekee havifanyikazi, ni MTU mwenye vyeti hivyo ndio anatskiwa atafsiri vyeti vyske kiutendaji. Hata kama vyeti ni vizuri lakini kama mgonjwa, amechoka, hashamirishi jukwaa na hotuba zake, huoni kama itaondoa mvuto wake,? Watafutwe vijana energetic" watakao weza kuhimili misukosuko ya uchaguzi.
 
Niliwahi kuushauri upinzani hasa UKAWA kuwa, serikali ya awamu hii siyo ya kupambana nayo barabarani kwa maandamano au mikutano ya hadhara, wataumia, wapambane nayo MAHAKAMANI na BUNGENI. Nashukuru kwa hilo ni kama waliupokea ushauri wangu na umeanza kuzaa matunda.

Leo tena najitokeza kushauri kuwa, mgombea urais wa 2020 upande wa upinzani (UKAWA) asiwe Mh Edward Ngoyai Lowassa.

Lowassa ni strategic mzuri, known figure, ana uwezo, na wapenzi wengi, kwa sababu hiyo nashauri awe kwenye kikosi cha kampeni kitakachomuombea kura mgombea wa urais lakini sio yeye kugombea, tumshukuru alivyotusaidia 2015 tumuache apumzike. Nina sababu.


Nafikiri leo EL ana 62 by that time atakuwa na almost 66 plus ukiongeza na afya yake sidhani kama atamudu mikikimikiki ya kampeni na kuzunguka nchi nzima.

Pili, ni ukweli usiopingika kuwa Lowassa ana makando kando mengi ingawa hayajathibitishwa lakini anayo, kwa hiyo wapinzani (CCM) wataendelea kuutumia udhaifu huo kama walivyoutumia uchaguzi uliopita na kuuweka upinzani mudawote kwenye defensive side badala ya kueleza sera.

Lowassa hana uwezo wa kulitawala jukwaa kwa speech, hamasa, na muda wa kuongea na wapiga kura, unaweza kuwa strategic mzuri ukawa huna convincing power jukwaani.

Mwisho, tukubali tusikubali Lowassa ni mgonjwa na ugonjwa alionao unapunguza uwezo wa akili kufanyakazi vizuri, kwa hiyo kumuongezea mzigo mwingine wa majukumu makubwa ya urais ni hatari kwake binafsi na kwa taifa.

Wapinzani (UKAWA) wana wanachama wengi na vijana wengi wenye uwezo, watafutwe angalau candidates wawili au watatu wawe groomed hata kwa siri, wajipitishe kwa wananchi wawajue mapema kuliko kusubiri dakika za mwisho ndio wajulikane. Tusirudie tena kosa la kupokea mgombea wa CCM kupitia UKAWA kama tulivyofanya kipindi kilichopita.

Upinzani ukifanya hivyo una nafasi kubwa ya kushinda kutokana na hali ya maisha kwa ujumla ilivyo.

Ni mimi mpenzi, shabiki kindakindaki wa upinzani asiye na chama.

Quinine.
Nahisi uchaguzi wa 2020 CDM itampitisha W. Sepenko kuwa mgombea wa urais kupitia chama chao. Sababu ni zile zile yeye anawafuasi wengi mitandao ya kijamii.
 
Quinine sikutegemea mnazi wa CDM alete huu uzi, ila umeona response ya wenzako, wengi wanatumia hisia badala ya akili, huu ni mfano tosha wa mambo mengi wafuasi wa CDM wa siku hizi wanavyofikiria, ndio maana baadhi ya watu wanawaita Nyumbu.
Hii ndiyo tofauti ya CCM na Chadema, wapinzani tuko huru sana kutoa mawazo yetu.
 
..unaweza kuwa sahihi.

..lakini kwa mtizamo wangu cdm wanahitaji ilani nzuri, kampeni ya kisasa, na mgombea mahiri mwenye uwezo wa kujenga hoja.

..uchaguzi uliopita cdm walizidiwa vyote hivyo na ccm.
TL ni miongoni mwa watahiniwa wazuri ila kimkakati hauziki, kwa kuwa tu EL alishinda Arusha au Moshi haimaanishi TL na yeye atashinda, TL ameshindwa hata ku mobilize muamko wa siasa Singida tu nyumbani kwao, unadhani anaweza kupata kura za kutosha sehemu nyingine?
 
Hii ndiyo tofauti ya CCM na Chadema, wapinzani tuko huru sana kutoa mawazo yetu.
Tatizo sio uhuru, angalia jinsi wenzio wanavyofikiria, unaona kabisa wanatoa majibu ya hisia na sio ya ubongo,
Uwezo wa EL kushinda haupo tena kama ulivyosema, EL alipewa pesa nyingi na wafanyabiashara wakiamini atashinda, watarudishiwa fadhila, hakuna mfanyabiashara atayeweka fedha yake 2020 akiamini kurudishiwa fadhila, EL bila pesa ni mwepesi tu.
 
Back
Top Bottom