Uchaguzi 2020 Ukweli mchungu kwa Lissu, sio kila mtu anaweza kuwa Rais wa JMT

North people mnamsakama sana magufuli na kumtoa kasoro, isitoshe wengi wenu hamuna kauli nzuri sio kwa viongozi wenu wala ninyi raia wakawaida mnategemea nini!!! Ngumu sana ndugu zanguni.

Wasukuma tumeamka hatutaki ujinga.
 
Sio kwamba Chadema ilikufa? Si Chadema chama cha Wachaga? Sacoss ya Mbowe? Hahahhahah dadeeeekk
 
We unavyo vyote lakin hata familia yako haiwez kuchagua kwa lolote
Hata mm najiulizaga Magufuli ilikuwaje akawa raisi mtu ambae hana break wala staha?
Jichunguze mkuu....kila mtu anamadhaifu
Kinachoangaliwa n strength ziwe nyingi kuliko weakness
 
Kiongozi anaenda kusemelea Mambo ya nchi nchi nyengine.. huyu anatakiwa awekwe vizuri.
Atayaongelea wapi ikiwa hata akiitwa mkutano wa ACT mamlaka ya mawasiliano inaonya sauti yake isisikike
 
Ni kweli lakini labda wanafanya kusudi, ili waonekane wana nguvu ya sauti ya kumzidi Rais aliyepo. (sentensi za amri amri na shuruti).
Mtindo wa sauti na maongezi yao unaweza kuifanya jamii kuamini wao wakishika Dora wanaweza kuwa ni madikteta zaidi.

Ili wabadilike inabidi wbadili mbinu za kumuatack Aliyepo,na kushusha Temper kimaongezi hata kama wanaongea.......kitu ambacho...
......
 
Back
Top Bottom