Ukweli Mchungu: Kijana shtuka! Hatma ya maisha yako iko mikononi mwako

xtaper

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
3,320
4,696
Salute folks,

Ni matumaini yangu wote mu wazima wenye afya njema kutuwezesha kuendelea na shughuli zetu za kila siku za uzalishaji. Nimekua member humu kwa muda mrefu kiasi chake, na leo nikaona sio mbaya kushirikiana na wanaJF wenzangu maneno mawili matatu. Najua kuna mada nyingi nimepost back in time zenye mlengo wa kitoto, utani n.k. ila hiyo yote ni katika kupunguza stress za maisha (haha), ila nikaona sio mbaya leo nikaongelea vitu vya msingi kwenye maisha yangu na ya vijana wengi kipindi hiki.

Mimi ni kijana wa Kitanzania mwenye umri 19-27. Na kwa range hii ya umri kwa masiha yetu ya kibongo bongo mtu huyu atakua kielimu katika ngazi ya High school mpaka Chuo hivi (kwa haraka haraka). Hiki ndio kipindi pekee mtu hutengeneza au kuharibu maisha yake (trust me). Kwa kutambua hili nikaona sio mbaya nikashirikiana na wanaJF wenzangu vichache (wengine wataongezea) nilivyoweza kujifunza katika safari yangu ya kupambana katika sekta mbali mbali kuanzia elimu, ki-uchumi na vingine vingi.

Naomba nisiwachoshe, nimejaribu kujot down some key points (lessons) nimepata as i said hapo juu in a numeric list.

1. Muda ni mali kijana mwenzangu. Kuna misemo, proverbs etc nyingi sana zinazoonyesha umuhimu wa muda. Nadhani hakuna ambaye hajawahi kusikia "Time is money" na mengine mengi sana. Wakati tunatumia miaka zaidi ya 17 kujifunza petroleum chemistry au Mechanical Engineering (Degree), wenzetu waarabu na wahindi watasomesha mtoto mpaka high school tu (in some cases mpaka Chuo but with a target) then atakaa kwenye biashara ya familia after a few months anakua ameimaster na ataiendesha vizuri sana mpaka atakapokuja kurithisha next generation.

Wakati upo Instagram ukilike picha za Vera sidika na Sanchoka, kuna mtu yupo Youtube anajifunza how to recycle plastics into bio-fuel.

Bottomline is " We all got the same 24 hours in a day, how do u spend them? It's up to you"

2. Kuwa na walimu/washauri katika ufanyacho. Hakuna anayejua kila kitu. Kubali kuongozwa na waliokutangulia kwani wanajua vikwazo, vizuizi na namna ya kudeal navyo.

U-much know hautakupeleka popote bali utadharaulika na kuonekana limbukeni na hakuna atakaye kuwa tayari kukupa ushauri/ kukurekebisha utakapokua unakosea. Mwalimu aliyekufundisha Physics form 3 ndio huyo aliyekufanya uwe Aeronautical Engineer leo.

3. Mahusiano/Mapenzi. Chagua mpenzi (girl/boyfriend) kwa umakini. Usitegemee kupanda juu kiuchumi kama unagirlfrnd anaenyonya senti zako kama Brevis inavyobwia wese (haha).
Mfano mdogo una date na slay queen atahitaji hela ya kusuka kila week say 30k (minimum) kwa mwezi ni 120k, hamjaenda club kila weekend usafiri 10k, bia 30k, entrance fee 20k jumla 60k kwa mwezi 240k, hajafanya shopping say kwa mwezi 200k, mtaenda dinner date say once a month kama 130k, etc unakuja kushtuka umetumia kama 1.2M sawa na bei ya kiwanja Mkuranga huko.

Chagua partner sahihi atakekusaidia kurise to the top sio atakae kuwa source ya downfall yako.

4. Jali afya yako. Kula vizuri, lala vizuri, kwani mwili wenye afya njema ndio hufanya akili kufikiri vyema. Achana na junk foods sijui mapizza etc.

Piga zoezi weka mwili safi sio kijana miaka 24 tu una kitambi cha bia kama cha lemutuz (sorry brother william Malecela )

5. Jiendeleze kielimu. Iwe formal au informal, lazima uupe ubongo wako chakula chenye afya kama unavyo upa mwili wako chakula.

Two years back kuna member mwenzetu humu ONTARIO alileta elimu ya forex. Ni kweli wengi walikua hawaijui hii kitu kubali ukatae. Pia ONTARIO akatuonyesha jinsi alivyo soma hadi kuimaster Forex. Naomba niquote sentesi yake moja kutoka kwenye moja ya threads zake... Alisema "Read, read, read".

Ntaendelea wakuu...
 
Piga zoezi weka mwili safi sio kijana miaka 24 tu una kitambi cha bia kama cha lemutuz (sorry brother william j Malecela)

Ntaendelea wakuu...
Hata lemutuz unamuhusu huu uzi japo ni babu
 
Mbona haya matamshi ni kama ontorio mwenyewe,.

Nimeihisi nguvu iliyoambatana na maneno yako, lets keep the fire blazing brother.
 
Back
Top Bottom