Ukweli mchungu: Hutavuka mpaka wa Tanzania bila kupata chanjo ya COVID-19

Lini chanjo ya korona ilipelekwa Tanzania, halafu serikali ikaikataa?
Acha hisia katika mambo ya msingi. Mabeberu wenyewe wanajua ya kuwa chanjo kuwafikia watu wote leo au kesho. Itachukua si chini ya miaka 2. Na Afrika imeambiwa kusubiri. Sasa haraka hizo mnatoa wapi? Mbona kisirani hivyo?
Clueless idiot
 
Uisikia kipindi cha Hutauza Wala kununua uspokuwa na chapa ya 666 ndio hii,

Mleta mada ulichokiandika hapo ndicho kinachokamilisha unabii wa Biblia, Kwa kuwa haitawezekana kweli kutoka nje ya nchi yako kwenda mahali pa nchi nyingine kama huna chanjo

Na masharit zaidi yanakuja, Huu ni Mwanzo Tu, Kwa kuwa masharti yajayo yatatangazwa rasimi na hao watawala wa hii Dunia,

Yajayo yanaogopesha zaidi, Ila mimi Binafs stachanjwa hata Kwa bakora na risasi, Kwa kuwa nafahamu yajayo
 
Private hospitals zipewe vibali vya kuagiza hiyo chanjo kama serikali haitaki, halafu kila atakaetaka kuchanjwa aende private alipie kuchanjwa serikali istupangie
 
hamna haja ya kwenda nnje! hiyo chanjo hata waniue sikubali mm na walio chini yangu.
 
Private hospitals zipewe vibali vya kuagiza hiyo chanjo kama serikali haitaki, halafu kila atakaetaka kuchanjwa aende private alipie kuchanjwa serikali istupangie

Kwa taarifa yako ambayo ni mpya.
Corona virus has undergone mutations, so the current vaccine is no longer thought to be useful as it was expected before.

sincerely ona hapo
👇🏽👇🏽👇🏽

 
Huku kudungwa ni hiyari sio lazima na udikteta

Lazima ni kupima tu and really it makes alot of sense

Nyie kupima Mungu alipiga marufuku

Huyu Mungu wa Chattle ana matatizo kabisa

Huna unalolijua umebakia kubwabwaja tu. Ni nchi gani hiyo inapima korona kwa lazima raia zake? Nazidi kujiridhisha kuhusu udogo wa uwezo wako wa kutumia akili kufikiri.
 
Chandimu kwa kudandia hoja bwana, chanjo yenyewe mstakabali bado haujaeleweka! Makuwadi wa beberu mshaanza kuchongoa mdomo, tulieni dawa iwaingie!

Hii mpya kabisa toka duru zinazoaminika.
Corona virus has undergone mutations, so the current vaccine is no longer thought to be useful as it was expected before.

Shambaboy jogoli ona hapo
👇🏽👇🏽👇🏽

 
Upo sahihi mkuu leo hii nimetoka Fire hapo K/Koo kukata tickets Basi ya kesho ya Nairobi kupitia Tanga Mombasa kampuni ya TAWAQAL nimeshindwa kupata huduma wanasema mpaka niwena CHETI CHA CORONA!...dah Sasa nakitoa wapi nahali halisi yahuku kwetu Tz inajulikana...na ili nikipate hicho kinachoitwa cheti Cha Corona Basi nahitajika nilipe 70000(Elfu Sabini) hiyo Ni mbali na fare!...
Aisee nimeshindwa!!!
 
Back
Top Bottom