MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,482
- 20,425
Baada ya mdahalo wake na Masilingi mambo yake kibao yamekataa kukaa kwenye mstari kabisa, mpaka akaamua kurudi tena ground zero Ubelgiji kufanyiwa upasuaji wa mwisho japo tayari alikuwa ameshafanya upasuaji wa mwisho rejea
hii ilikuwa July 2018 Mungu Mbariki Tundu Lissu! Afanyiwa upasuaji wa Mwisho kabisa... Atarudi akitembea kama kawaida - JamiiForums
na hii ilikuwa May 2018 Tundu Lissu, kufanyiwa upasuaji wa mwisho tarehe 4/6/18, awapa salamu Watanzania - JamiiForums
Baada ya kukutana na za uso naona kapunguza kabisa kukutana na Watanzania wanaoishi nchi za nje, kapunguza kuongea na waandishi wa habari kitu kikubwa alichofanya ilikuwa kuombba school fees sana na malazi